Huu ndio ukweli kuhusu chanjo kwa binadamu

 Aprili 24 hadi 30  ya kila mwaka ni wiki ya chanjo duniani. Shirika la Afya Duniani (WHO) limeitenga wiki hii kwa ajili ya kampeni mbalimbali zinazohusu chanjo. Takwimu za WHO zinaonyesha kuwa katika kipindi cha miaka 50 iliyopita, chanjo zimeokoa maisha ya watu karibu milioni 154 duniani, huku pia zikiwakinga na magonjwa hatari zaidi ya…

Read More

Faida maziwa ya mbuzi kwa watoto wadumavu

Katika jitihada za kupambana na tatizo sugu la lishe duni na udumavu kwa watoto wenye umri chini ya miaka mitano mkoani Dodoma, maziwa ya mbuzi yameonekana kuwa mkombozi mkubwa kwa familia masikini wilayani Bahi na Chamwino. Watoto waliokuwa wakikabiliwa na utapiamlo wameanza kupata afueni ya kiafya,  kwa kutumia maziwa hayo yenye virutubisho muhimu. Wataalamu wa…

Read More

AKILI ZA KIJIWENI: Pawasa kafanikiwa bado Aggrey Morris

HAPA kijiweni tumefuatilia kwa ukaribu muenendo wa timu zetu mbili tofauti za vijana za wanaume ambazo zilikuwa na kibarua cha kushiriki mashindano ya umri wao yanayosimamiwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF). Timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17 ‘Serengeti Boys’ ilikuwa Morocco ambako ilikuwa inashiriki Fainali za Mataifa…

Read More

Malindi, Mafunzo zaifuata KMKM fainali

TIMU za Malindi na Mafunzo jioni ya leo  Alhamisi zimetinga nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la Zanzibar (ZFF Cup) Kanda ya Unguja, baada ya kupata ushindi katika mechi za robo fainali dhidi ya Black Sailors na Kundemba. Malindi iliichapa  Black Sailors kwa penalti 4-1, ilihali Mafunzo waliwanyoosha maafande wenzao wa Kundemba pia kwa penalti…

Read More

Hatari ya kifafa kwa wagonjwa wa kisukari

Kisukari ni ugonjwa sugu unaohitaji ufuatiliaji wa karibu kila siku. Mojawapo ya hatari kwa watu wenye kisukari ni kushuka kwa sukari kupita kiasi hali inayojulikana kwa jina la ‘hypoglycemia’. Ikiwa haitatibiwa mapema, ‘hypoglycemia’ inaweza kusababisha kifafa, kupoteza fahamu, au hata kifo. Hali hii ni hatari zaidi kwa watoto, hasa wale wanaotumia insulini mara kwa mara….

Read More

Usajili CAF… Bada, Sure Boy wapishana Yanga

KITAKWIMU ni rasmi kwamba Yanga imeshafuzu Ligi ya Mabingwa msimu ujao ikiwa imesaliwa na mechi kadhaa mkononi. Hiyo imewapa kiburi cha kuanza harakati za kufumua kikosi na kupanga hesab mpya tayari kwa mashindano hayo makubwa yanayotabiriwa kuwa na presha kubwa kwao msimu ujao. Mwanaspoti linajua kuwa viungo Salum Abubakar ‘Sure Boy’na Farid Musa huenda wakapelekwa…

Read More

Debora upepo umebadilika ghafla | Mwanaspoti

KATI ya sajili zilizobamba msimu huu kabla ya kuanza kwa Ligi Kuu Bara katika kikosi cha Simba, basi ilikuwa ni ule wa kiungao Debora Fernandes Mavambo aliyetua akitokea Mutondo Stars ya Zambia kwa mkataba wa miaka mitatu kutokana na mashabiki kuwa na matumaini makubwa naye. Nyota huyo mzaliwa wa Jiji la Luanda, Angola aliwakosha mashabiki…

Read More