Wanayoyasema makada wa Chadema walioishtaki Tume Huru ya Uchaguzi
Dar es Salaam. Mwaka mmoja baada ya kuundwa kwa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), makada watatu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wamefungua shauri kupinga sheria hiyo. INEC imeanzishwa mwaka 2024 chini ya Sheria ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), namba 2 ya mwaka 2024. Sheria hiyo iliyopitishwa na Bunge Februari 2,…