BEGASHE MFANYAKAZI HODARI MALIASILI 2024/2025
……………. Na Yusufu Kayanda Afisa Uhusiano Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Bw. Sixmund Begashe, amesema heshima kubwa aliyoipata ya kutangazwa kuwa Mtumishi Hodari wa Wizara ya Maliasili na Utalii ni heshima kwa wanahabari wote nchini, pamoja na watumishi wote wa wizara hiyo kutokana na ushirikiano mzuri waliouonesha katika kuufahamisha umma kuhusu matokeo chanya…