GIZ YATOA MSAADA WA VIFAA TIBA VYENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 975 KATIKA HALMASHAURI ZA MKO WA TANGA

Na Oscar Assenga, TANGA SERIKALI ya Ujerumani kupitia shirika la ufadhili wa kimataifa nchini humo (GIZ) limetoa msaada wa vifaa tiba vyenye thamani ya shilingi Milion 975 vitakavyotumika katika hospitali 20 zilizopo kwenye hamashauri mbalimbali Mkoani Tanga hii ikiwa ni utekelezaji wa programu yake ya kusaidia na kuimarisha sekta ya afya hapa nchini. GIZ ambayo…

Read More

Ilichosema TEC kushambuliwa kwa Padri Kitima

Dar es Salaam. Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), limetaka hatua za haraka kuwabaini na kuwakamata wote waliohusika na shambulizi dhidi ya Katibu Mkuu wa baraza hilo, Padri Charles Kitima. Baraza hilo limesema hadi sasa linapata ushirikiano kutoka kwa Serikali na vyombo vya usalama. TEC imekuja na wito huo, siku moja baada ya taarifa ya…

Read More

NACTVET yashiriki maadhimisho ya siku ya wafanyakazi

Na Mwandishi Wetu WATUMISHI  wa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) wameshiriki katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani. Maadhimisho hayo kitaifa yamefanyika mkoani Singida katika viwanja vya bombandia, ambapo Mgeni Rasmi katika hafla hiyo ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan….

Read More

Mbeya City yarejea Ligi Kuu kwa kishindo

USHINDI wa mabao 5-0 ilioupata Mbeya City dhidi ya Cosmopolitan, umeifanya timu hiyo kutoka jijini Mbeya kurejea Ligi Kuu Bara msimu ujao 2025-2026 baada ya kufikisha pointi 65 ambazo haziwezi kufikiwa na timu inayoshika nafasi ya kuanzia ya tatu kushuka chini. Mbeya City imerejea Ligi Kuu Bara baada ya kukosekana kwa misimu miwili tangu iliposhuka…

Read More

Wafanyakazi wafurahia nyongeza ya mshahara

Dar/mikoani. Wafanyakazi wa umma nchini wamepokea kwa furaha nyongeza ya mshahara wa kima cha chini kutoka Sh370,000 hadi Sh500,000, wakitaja kuwa ni hatua chanya kuelekea kufikia viwango bora zaidi vya masilahi. Nyongeza hiyo ya asilimia 35.1 imetangazwa leo na Rais Samia Suluhu Hassan wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Mei mosi na kubainisha kuwa ngazi…

Read More

Nyota Tabora United amzimia Mpanzu

BEKI wa zamani wa Polisi Tanzania na Yanga anayekipiga kwa sasa Tabora United, Yassin Mustafa amemtaja Elie Mpanzu, ndiye winga hatari zaidi katika Ligi Kuu Bara na ni Luis Miquissone mpya wa kikosi cha Simba. Mpanzu alijiunga na Simba dirisha dogo la usajili na tayari ameanza kuonyesha ubora katika kikosi hicho akiingia moja kwa moja…

Read More

Amuua mwanaye wakigombea koti | Mwananchi

Rombo. Mzee mwenye umri wa miaka 82, mkazi wa kijiji cha Kilema, kata ya Olele, wilayani Rombo, mkoani Kilimanjaro, anadaiwa kumuua na kumzika mwanaye, Oscar Msamanga (42), kufuatia ugomvi uliodaiwa kuzuka baada ya Msamanga kuvaa koti la baba yake bila idhini. Tukio hilo la kusikitisha lilifichuka Aprili 29, 2025, baada ya mzee huyo kutoa kauli…

Read More