Takukuru yabaini kuongezeka viashiria rushwa katika uchaguzi
Mwanza. Ripoti ya ufuatiliaji wa vitendo vya rushwa uliofanywa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (Takukuru) imebaini ongezeko la vitendo vya rushwa katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2024 ikilinganishwa na mwaka 2019. Kwa mujibu wa Kamusi ya Baraza la Kiswahili Tanzania (Bakita) ya mwaka 2022, Rushwa ni mali, pesa au…