Bao la Simchimba kuchunguzwa upya na Bodi ya Ligi
UTATA wa bao moja alilonyimwa mshambuliaji wa Geita Gold, Andrew Simchimba limetua kwa Bodi ya Ligi (TPLB) na kwa sasa wanafanya uchunguzi kwa kilichotokea katika mchezo wa Championship dhidi ya Cosmopolitan, Novemba 24, 2024. Nyota huyo ana mabao 19, ingawa katika kumbukumbu za TPLB ameandikiwa 18, kwa kile kilichotokea katika mchezo huo dhidi ya Cosmopolitan…