‘Mrema ameanza, wengine watafuata Chadema’
Dar es Salaam. Kufukuzwa uanachama wa Chadema kwa John Mrema ni utekelezaji wa mkakati wa ndani wa chama hicho, unaodaiwa kufanywa na ngazi ya chini, ukilenga kuwashughulikia makada wote wanaounda kundi la G55. Taarifa ambazo Mwananchi inazo zinadai mkakati uliopo ni kuwashughulikia G55 kupitia matawi yao. Katika kuhakikisha hilo, kuna timu ya watu wasiopungua watatu…