OFISI YA TRA MBULU KUJENGWA 2026/27

Naibu Waziri wa Fedha Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb), akijibu swali la  Mbunge wa Mbulu Mjini, Mhe. Zacharia Paulo Issaay, aliyetaka kujua mpango wa Serikali wa kujenga Ofisi ya TRA katika Wilaya ya Mbulu, jijini Dodoma. (Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini- Wizara ya Fedha) …………………. Na. Josephine Majura, WF, Dodoma Naibu Waziri wa Fedha…

Read More

Teknolojia ya IIT Madras kuibua fursa za ajira Zanzibar

Unguja. Kutokana na umuhimu wa teknolojia katika dunia ya sasa, Chuo Kikuu cha Teknolojia cha IIT Madras tawi la Zanzibar kimeanza kutoa mafunzo kwa vijana na watendaji wa taasisi mbalimbali ili kuwajengea uwezo na umahiri wa kutumia teknolojia katika kuendeleza taifa. Kauli hiyo imetolewa leo Jumatano, Mei 28, 2025, na mkufunzi wa chuo hicho, Profesa…

Read More

WAZIRI MKUU AENDELEA KUWASHAWISHI WAJAPAN KUWEKEZA NCHINI

 ,::::::: WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ameendelea kuwashawishi wawekezaji na wafanyabiashara wakubwa wa Japan kuja kuwekeza kwenye sekta za kilimo, afya, uchumi wa buluu, nishati, miundombinu, ufugaji na TEHAMA kwani Serikali imeshaboresha mazingira ya ufanyaji biashara na uwekezaji. Ameyasema hayo leo (Jumatano, Mei 28, 2025) alipokutana kwa nyakati tofauti na viongozi wa Shirikisho la Wawekezaji katika…

Read More

Dk Tulia kupenya Uyole? Haya hapa yanayomsubiri

Mbeya. Pamoja na kutabiriwa ushindi, lakini baadhi ya wananchi, wadau na wachambuzi wa siasa jijini Mbeya, wamesema uamuzi wa Dk Tulia Ackson kugombea jimbo la Uyole haikuwa kazi nyepesi, huku wakitaja maeneo yanayomsubiri iwapo atapenya. Hivi karibuni Dk Tulia alitangaza nia ya kugombea jimbo jipya la Uyole baada ya kuliongoza jimbo la Mbeya Mjini kwa…

Read More

Coastal Union yaanza na Chikola, Bwenzi

WAKATI msimu huu ukielekea ukingoni, klabu mbalimbali zinazoshiriki Ligi Kuu Bara zimeanza hesabu mapema za kuimarisha vikosi vyao kwa ajili ya msimu ujao ambapo inaelezwa Coastal Union imefanya mazungumzo na nyota wawili, Offen Chikola wa Tabora United na Seleman Bwezi anayecheza KenGold. Coastal Union imeanza na wachezaji hao ikiamini kwamba ikikamilisha kuwasajili watasaidia timu kufanya…

Read More

‘Ni feitoto na mzize tu’

MSHAMBULIAJI wa Tanzania Prisons, Jeremiah Juma amesema kati ya wachezaji wazawa waliofanya vizuri kwa msimu huu ni Feisal Salum ‘Fei Toto’ anayeitumikia Azam. Mbali na Fei Toto, Juma pia amesema Clement Mzize wa Yanga naye amefanya kazi kubwa ikingatiwa ndiye kinara wa mabao kwa wazawa. Msimu huu Fei Toto anaongoza kwa asisti akiwa nazo 13,…

Read More

Majaliwa aendelea kuwashawishi Wajapan kuwekeza nchini

Tokyo. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameendelea kuwashawishi wawekezaji na wafanyabiashara wakubwa wa Japan kuja kuwekeza nchini kwenye sekta za kilimo, afya, uchumi wa buluu, nishati, miundombinu, ufugaji na Tehama. Ametoa rai hiyo kutokana na kile alichoeleza kuwa Serikali imeshaboresha mazingira ya ufanyaji biashara na uwekezaji. Ameyasema hayo leo Jumatano, Mei 28, 2025 alipokutana kwa nyakati…

Read More