Walioua walinzi wa Suma JKT CRDB, DCB kunyongwa
Dar es Salaam. Mahakama Kuu, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, imewahukumu adhabu ya kifo, watu wawili waliovamia Benki mbili za CRDB na Benki ya Biashara ya DCB za jijini Dar es Salaam na kuua watu watatu kwa mtutu wa bunduki. Tukio hilo la mauaji lilitokea saa 8:40 mchana wa Desemba 8, 2015 katika eneo…