Yanga v JKU fainali Muungano Cup mechi ya kuviziana

NI kama fainali ya kuviziana, kwani kila upande unataka kufanya vizuri ili uongeze au uweke rekodi. Kikosi cha Yanga usiku wa leo Alhamisi kitakuwa uwanjani kuwakabili JKU ya Zanzibar katika fainali ya Kombe la Muungano, huku nahodha wa hiyo, Dickson Job akifichua siri ya chozi alililomwaga mara baada ya mechi ya nusu fainali ywa michuano…

Read More

KMKM, Mlandege zatinga nusu FA kibabe

WABABE wa Ligi Kuu Zanzibar (ZPL), KMKM na Mlandege, jioni ya leo Jumatano zimetinga nusu fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho la Zanzibar (ZFF Cup) kanda ya Unguj,  baada ya kushinda mechi za robo fainali. KMKM iliibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya New King katika mechi iliyopigwa kwenye Uwanja wa Mao Zedong,…

Read More

CAG: Asilimia 95 fedha za miundombinu hazikupelekwa Tanapa

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), amebaini Sh21.97 bilioni, sawa na asilimia 95 hazikutolewa na Serikali kwa ajili ya utekelezaji bajeti ya miundombinu ya Hifadhi za Taifa Tanzania (Tanapa) kwa mwaka 2023/2024. Mbali na Tanapa, lakini Sh28.61 bilioni zilizoidhinishwa kwa ajili ya bajeti ya maendeleo kwa Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la…

Read More

Rais TEC asimulia shambulio la Padri Kitima, awapinga Polisi

Dar es Salaam. Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Askofu Wolfgang Pisa amesema Padri Charles Kitima ameshambuliwa kwa kupigwa na kitu kizito kichwani na kujeruhiwa kidevuni. Hata hivyo, amesema taarifa zinazoeleza kabla ya kushambuliwa alikuwa akipata kinywaji ni upotoshaji, badala yake shambulio dhidi yake lilifanywa alipotoka eneo la mgahawa ambalo siku zote hulitumia…

Read More

Jambo muhimu utoaji mikopo mtandaoni ukishamiri nchini

Huduma za mikopo ya kidijitali zimeleta mapinduzi katika upatikanaji wa mikopo, kwa kurahisisha mchakato hadi kufikia hatua ambapo mkopaji anaweza kupata fedha ndani ya sekunde kupitia simu ya mkononi bila kujaza fomu, kusimama kwenye foleni, wala kutoa dhamana. Hali hii huwapa watumiaji ahueni ya haraka, hasa wanapokuwa na mahitaji ya dharura. Hata hivyo, kuna umuhimu…

Read More

Itumie Mei mosi kutafakari mshahara wako

Leo ni Sikukuu ya Wafanyakazi, siku ya mapumziko na fursa ya kutafakari malipo yanayotokana na kazi yetu, mshahara. Sikukuu hii inatukumbusha kusherehekea michango ya wafanyakazi na kutathmini fedha zetu za kibinafsi, ikiwa ni pamoja na mshahara, nyongeza zinazowezekana, na namna ambavyo tunaweza kujiongeza kwa mapato ya mshahara. Unapaswa kujiuliza maswali kadhaa, mathalani; Je, unatumiaje mshahara…

Read More