ACT Wazalendo walaani shambulio Padri Kitima

Dar es Salaam. Chama cha ACT Wazalendo kimelaani kushambuliwa kwa Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima wakitaka hatua za haraka kwa wahusika tukio hilo. Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema Padri Kitima ameshambuliwa usiku wa jana Jumatano, Aprili 30, 3035…

Read More

ANAYEDAIWA KUMJERUHI PADRI KITIMA AKAMATWA

               ::::::  Jeshi la Polisi lina mshikilia mtu.mmoja kwa tuhuma za kumjeruhi Katibu wa Baraza la Maaskofu Tanzania, Padri Charles Kitima. Padri Kitima anadaiwa kujeruhiwa na watu wawili akitoka maliwatoni muda mfupi baada ya kumaliza kikao na viongozi wa dini.  Taarifa ya Jeshi la Polisu kwa vyombo vya habati…

Read More

Simu, mitandao ya kijamii ilivyo hatari kwa akili yako

Dar es Salaam. Ingawa simu za mkononi na mitandao ya kijamii ni nyenzo muhimu za kupata taarifa, kwa upande mwingine, zinakuweka katika hatari ya kupata msongo wa mawazo, upweke, matatizo ya umakini na hatimaye changamoto ya afya ya akili. Kwa taarifa yako, kadri unavyohisi raha ya kuperuzi katika mitandao ya kijamii kupindukia, ndivyo unavyojiweka karibu…

Read More

Padri Kitima ashambuliwa, Polisi yamdaka mmoja

Dar es Salaam. Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam linamshikilia Rauli Mahabi kwa tuhuma za kumjeruhiwa Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima. Hatua ya kushikiliwa kwa Mahabi mkazi wa Kurasini, Dar es Salaam, inatokana na taarifa za kushambuliwa kwa Padri Kitima iliyoanza kusambaa katika mitandao ya…

Read More

Tahadhari ya UN juu ya kuongezeka kwa shida nchini Sudan wakati njaa inaenea na vurugu zinaongezeka – maswala ya ulimwengu

Katika a taarifa iliyotolewa na msemaji wake Jumatano, Un Katibu Mkuu António Guterres Alisema “alishtushwa” na hali mbaya huko Darfur Kaskaziniambapo mji mkuu wa mkoa, El Fasher, uko chini ya shambulio kali na endelevu. Shambulio hilo linakuja wiki mbili tu baadaye Mashambulio mabaya kwenye kambi za karibu za Zamzam na Abu Shoukambapo mamia ya raia,…

Read More