Rais Samia aagiza majengo ya CCM yatumike kusikiliza kero za wananchi
Dodoma. Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu Hassan ameweka jiwe la msingi katika uzinduzi wa jengo la makao makuu ya CCM, huku akiagiza ofisi za chama kutumika kusikiliza kero za wananchi na kuzifikisha Serikalini zipatiwe ufumbuzi. Uzinduzi huo umefanyika leo Jumatano, Mei 28, 2025 katika eneo la Tambukareli jijini Dodoma. Akizungumza katika…