No reforms, no election rasmi kaskazini leo, wachambuzi wanena
Dar es Salaam. Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) leo Jumatano kikianza operesheni ya ‘No reforms, no Election’ katika mikoa minne ya kaskazini, baadhi ya wachambuzi wa siasa wameshauri hoja za kukaziwa na kuepukwa katika ziara hiyo. Hoja hizo ni pamoja na kutoa elimu kwa umma kuhusu sababu za chama hicho kutoshiriki uchaguzi, suala…