Viongozi barani Afrika wanakwama wapi?
Dar es Salaam. Hivi unajua kuwa Afrika ndilo bara pekee lenye zaidi ya asilimia 30 ya rasilimali zote za asili duniani? lakini ndilo bara lenye idadi kubwa ya watu masikini duniani. Ukwasi huo wa rasilimali uliopo Afrika, hauakisi utajiri wa kiuchumi na maendeleo katika bara hilo kama inavyoeleza Ripoti ya Benki ya Dunia ya mwaka…