MRADI MPYA WA UDSM NA WHI KULETA MAGEUZI YA KIUCHUMI NA KIJAMII
:::::::: CHUO Kikuu cha Dar es salaam UDSM kwa kushirikiana na Watumishi Housing Investment (WHI),wamesaini mkataba wa mkataba wa ujenzi wa kituo cha Biashara cha Hill ilikuongeza ufanisi wa huduma kwa jamii. Kituo hicho kitakuwa na eneo la kuoshea magari,viwanja vya michezo kwa watoto, ofisi pamoja na eneo…