Samia asimame hapo, Lissu pale mechi dakika 90 – Heche

Rombo. Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Bara, John Heche amesema wanahitaji mabadiliko ya sheria za uchaguzi ili Rais Samia Suluhu Hassan ambaye ni mgombea mteule wa Chama cha Mapinduzi  (CCM) ashindane na mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu kwenye uchaguzi mkuu mwaka huu. Heche amesema hayo leo, Mei 27, 2025 Tarakea, Kilimanjaro,…

Read More

Mtoto mbaroni akidaiwa kuiba gari la mwalimu

Dar es Salaam. Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linafanya uchunguzi kuhusu tukio linalomhusisha mtoto wa miaka 10, mwanafunzi wa darasa la tano, anayedaiwa kuiba gari la mwalimu akiwa na wenzake. Inadaiwa kuwa mtoto huyo alikuwa na wenzake wanne, ambapo kwa pamoja walipanga kuiba gari aina ya Toyota Spacio, mali ya Zuhura Khatibu (47), mkazi…

Read More

DENMARK NA NCHI WASHIRIKA ZAIPONGEZA SUGECO KWA UWEZESHAJI VIJANA SEKTA YA MIFUGO

Farida Mangube, Morogoro Balozi wa Denmark nchini Tanzania, Jesper Kamp, ameipongeza Tanzania kwa hatua kubwa ilizopiga katika kuwawezesha vijana kujiajiri kupitia sekta ya mifugo, hatua inayochochea maendeleo ya kijamii na kiuchumi kwa vijana wa Kitanzania. Balozi Jesper ametoa pongezi hizo Mkoani Morogoro kwa niaba ya mabalozi wenzake kutoka nchi za Nordic ambazo ni Denmark, Norway,…

Read More

Wabunge wataka mkono wa sheria kwa wasanii wenye mavazi ya aibu

Dodoma. Wabunge wameishinikiza Serikali kuweka msimamo thabiti katika kuwalinda watoto na kizazi cha sasa, wakieleza kuwa maadili yameendelea kuporomoka kwa kiwango cha kutisha. Baadhi yao wamependekeza kuchukuliwa kwa hatua kali dhidi ya wale wanaobainika kufanya vitendo viovu vinavyoharibu maadili ya jamii. Kauli za wabunge zilitolewa wakati wa mjadala wa hotuba ya makadirio ya mapato na…

Read More

MRADI WA UMWAGILIAJI MPUNGA WA MANDAKA MNONO KATA YA OLDMOSHI MAGHARIBI KULETA KILIMO CHA UHAKIKA KWA MISIMU YOTE.

Na WILLIUM PAUL, MOSHI.  WAKULIMA wa Mpunga wa kijiji cha Mandaka Mnono katika Kata ya Oldmoshi Magharibi mbioni kunufaika na mradi mkubwa wa umwagiliaji ambao unajengwa na serikali kwa gharama ya Shilingi bilioni 5.1.  Hatua hiyo inatoa pongezi nyingi kwa serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutoa fedha za…

Read More