Polisi yasubiri maelezo ya Padri kitima iendelee na uchunguzi
Dar es Salaam. Ikiwa imepita mwezi mmoja tangu Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu (TEC), Padri Kitima ashambuliwe, Jeshi la Polisi limeeleza hatua ilipofikia katika kufuatilia uchunguzi wa tukio hilo. Padri Kitima alishambuliwa Aprili 30, 2025, majira ya saa nne usiku, katika makazi na Makao Makuu ya Baraza hilo yaliyopo Kurasini Wilaya ya Temeke jijini…