SERIKALI YAITAKA COMMUNITY NETWORK KUSAMBAZA TEHEMA VIJIJINI
Serikali kupitia Tume ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) imeitaka Taasisi ya School of Community Network kuongeza juhudi za kuanzisha vituo vya mafunzo ya TEHAMA katika mikoa mbalimbali nchini, hususan vijijini, ili kuwajengea vijana ujuzi wa kushiriki kikamilifu katika uchumi wa kidigitali. Akizungumza leo Mei 27, 2025 jijini Dar es Salaam wakati wa ufunguzi…