Iliyochapishwa mbele ya Baraza la Haki za BinadamuKikao kinachokuja, ripoti ilionyesha hali mbaya tangu mapinduzi ya kijeshi mnamo 2021ambayo iliondoa mabadiliko ya kidemokrasia ya Myanmar
Month: May 2025

Kocha Msaidizi wa Simba, SELEMAN Matola. SELEMAN Matola, Kocha Msaidizi wa Simba amesema kuwa wapo tayari kwa mchezo wao ujao wa ligi

Dodoma. Serikali imesema kuwa utafiti uliofanywa kuhusu kuwarudisha wanafunzi waliopata mimba shuleni kuendelea na masomo haujaonyesha ongezeko la wanafunzi kupata mimba katika shule husika, badala

Kampuni ya Hisense Tanzania imetambulisha bidhaa yake mpya sokoni ambazo ni Televisheni ya kisasa ya nchi 116 na Frigi la kisasa ambalo Kwa mara ya

Baadhi ya vijana wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wakiongozwa na Hemed Hassan, Katibu wa Hamasa na Chipukizi wa Umoja wa Vijana wa

Unguja. Licha ya mafanikio yaliyopatikana katika sekta ya afya kwa mwaka wa fedha 2025/26, Waziri wa Afya wa Zanzibar, Nassor Ahmed Mazrui amesema wizara bado

Dodoma. Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), limewaita vijana waliomaliza kidato cha sita mwaka 2025 kuhudhuria mafunzo ya JKT kwa Mujibu wa Sheria kwa mwaka 2025.

Unguja. Katika kupambana na uharibifu wa mazingira na kulinda afya za wananchi, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imesema inaandaa mwongozo maalumu wa matumizi ya

Mkurugenzi Mtendaji wa PPPC, David Kafulila Na Mwandishi Wetu – Dar es Salaam Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma

Mtwara. Katika kuhakikisha inatekeleza ahadi ya kuifungua kiuchumi mikoa ya Lindi na Mtwara na kuboresha miundombinu ya barabara na madaraja, Serikali imetangaza kupeleka Sh669 bilioni.