Chadema kupeleka operesheni No reforms, no election Kaskazini

Arusha. Chama cha Demokrasi na Maendeleo (Chadema), kimepanga kuanza operesheni ya No reforms, no election ‘bila mabadiliko hakuna uchaguzi’ katika mikoa ya Kanda ya Kaskazini kuanzia kesho Mei 28, 2025. Operesheni hiyo inatarajiwa kuzinduliwa kesho Mei 28,2025 katika viwanja vya Kilombero jijini Arusha. Akizungumza na Mwananchi leo, Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Samwel Welwel…

Read More

Takukuru yazuia malipo ya makaburi hewa 123 Musoma

Musoma. Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoani Mara imefanikiwa kudhibiti malipo hewa ya zaidi ya Sh70.2 milioni zikiwemo Sh49.2 milioni zilizotakiwa kulipa fidia ya makaburi hewa katika Kata ya Nyatwali wilayani Bunda. Makaburi hayo ni sehemu ya malipo ya fidia ya zaidi ya Sh59 bilioni zilizotolewa na Serikali kwa wakazi wa Nyatwali…

Read More

DAR KINARA MAKUSANYO YA MADUHULI

-Soko la madini, madini ya ujenzi na viwandani yaibeba 📍DAR ES SALAAM Mkoa wa Dar es Salaam umeendelea kufanya vizuri katika ukusanyaji wa maduhuli ya Serikali kupitia Sekta ya Madini kwa mwaka wa fedha 2024/2025, baada ya kufanikisha makusanyo ya Shilingi Bilioni 23.02 kufikia mwezi Mei, sawa na asilimia 125 ya lengo la mwaka. Ofisi…

Read More

Vijimambo vya Fountain Gate | Mwanaspoti

MSIMU wa 2024/25 uko mbioni kumalizika, lakini ndani ya msimu huu kuna mambo flani yametokea katika kikosi cha Fountain Gate na Foutain Gate Pricess ambayo yafurahisha. Timu hizo zimekuwa na mwendelezo wa matukio ya kusisimua nje ya uwanja. Itakumbukwa mwaka jana ilimsimamisha ofisa habari, Issa Liponda na baadaye ikamrejesha kuendelea na majukumu, katika tukio lililokuwa…

Read More

Mkuu wa Haki za UN anataka kukomeshwa kwa mauaji ya kila siku huko Ukraine baada ya shambulio mbaya la wikendi – maswala ya ulimwengu

Wengi wa wale waliouawa na kujeruhiwa walikuwa katika miji mikubwa kama Kyiv, Kharkiv, na Mykolaiv, au katika maeneo yenye watu katika mikoa mingine. Wakati huo huo, idadi kubwa ya drones za masafa marefu zilizozinduliwa nchini Urusi na vikosi vya jeshi la Kiukreni kujeruhi raia wasiopungua 11 mwishoni mwa wiki, kulingana na viongozi wa Urusi. Kunyamazisha…

Read More

NIDA Songea Yasihi Wananchi Kuchukua Vitambulisho vyao.

Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) Wilaya ya Songea imewahimiza wananchi wote kujitokeza kuchukua vitambulisho vyao vya taifa ambavyo vimekamilika, ili kuepuka usumbufu unaoweza kujitokeza pale watakapohitaji huduma zinazohitaji kitambulisho hicho muhimu. Afisa wa NIDA Wilaya ya Songea, Seif Mgonja, amesema kuwa ni vyema wananchi wakajiandikisha mapema na kufuatilia hatua zote za upatikanaji wa vitambulisho…

Read More