WAKULIMA PIMENI AFYA YA UDONGO KUEPUKA HASARA

Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA), Dkt. Anthony Diallo akizungumza na wakulima wa Chama cha Msingi cha Ushirika wa Wakulima wa Miwa (AMCOS) cha Mkula, Halmashauri ya Ifakara mkoani Morogoro wakati wa ziara iliyolenga kujifunza, kupokea na kutatua changamoto za wakulima hao wa miwa tarehe 26 Mei, 2025. Mwenyekiti wa…

Read More

Matukio ya ubakaji, ulawiti yapungua nchini

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Dk Dorothy Gwajima amesema wizara yake imeshughulikia migogoro ya ndoa 97,234 katika kipindi cha Julai hadi kufikia Aprili 2025 kupitia Kitengo cha Ustawi wa Jamii ngazi ya halmashauri hadi taifa. Dk Gwajima ametoa takwimu hizo leo Jumanne Mei 27, 2025, bungeni jijini Dodoma alipokuwa akiwasilisha…

Read More

KenGold ndoto mpya Ligi Kuu

PAMOJA na kukubali kilichoikuta, KenGold imesema itafuatilia njia zilizotumiwa na Mtibwa Sugar na Mbeya City kuhakikisha inarejea tena Ligi Kuu, huku ikitoa msimamo kwa nyota waliosimamishwa kwa tuhuma za utovu wa nidhamu. Timu hiyo yenye maskani yake wilayani Chunya mkoani Mbeya, imeshiriki Ligi Kuu msimu mmoja na kushuka daraja na msimu ujao itacheza Championship kujitafuta…

Read More

Mtibwa yajipanga Ligi Kuu, yaanza na mkali wa mabao

MTIBWA Sugar imesema imebaini baadhi ya timu zinamnyatia staa wake, Raizin Hafidh hivyo imemuwahi mapema kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu huku ikidokeza mwelekeo mpya wa timu hiyo. Timu hiyo ambayo imerejea tena Ligi Kuu baada ya kushuka daraja msimu uliopita, inajivunia rekodi ya kumaliza Championship ikiwa kinara kwa pointi 71. Pamoja na…

Read More

Laizer atwishwa zigo Fountain Gate

KOCHA mpya wa Fountain Gate, Mohamed Ismail ‘Laizer’, amefikia makubaliano ya kukiongoza kikosi hicho katika mechi mbili zilizobakia msimu huu, huku akiweka wazi sharti kubwa alilopewa ni kuhakikisha timu hiyo inabakia Ligi Kuu msimu ujao. Akizungumza na Mwanaspoti, Laizer alisema hahofii masharti aliyopewa kutokana na kuamini timu hiyo inaweza kujinasua katika janga la kushuka daraja,…

Read More

‘Chagulaga’ inavyofifisha ndoto za wasichana kielimu

Katavi.Wakati mwelekeo wa Taifa sasa ni kuhakikisha kila Mtanzania anapata elimu ujuzi ili kumuwezesha kikamilifu kwenye shughuli za kujenga uchumi, hali iko tofauti katika Halmashauri ya Mpimbwe iliyopo mkoani Katavi.  Katika eneo hilo linalokaliwa na jamii za Wasukumu bado kuna kilio cha mila potofu ya chagulaga inayosababisha wasichana wakatishe masomo na kuangukia kwenye ndoa za…

Read More

Mkomola kambi kokote, apiga mkwara

MSHAMBULIAJI wa zamani wa Yanga na Tanzania Prisons, Yohana Mkomola anayekipiga kwa sasa KVZ amesema kitendo cha kujiunga na timu hiyo kimempa motisha kubwa ya kurejea katika kiwango chake msimu huu, baada ya kuanza vibaya kutokana na kuandamwa na majeraha ya mara kwa mara. Nyota huyo amejiunga na timu hiyo inayoshiriki Ligi Kuu ya Zanzibar…

Read More

Saa 18 za mateso wagonjwa kukosa umeme Muhimbili

Dar es Salaam. Zaidi ya wagonjwa 200 wanaohitaji huduma ya kuchuja damu ‘dialysis’ na watoto wanaopokea huduma katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) jana walipitia wakati mgumu baada ya jengo wanalolitumia kupata huduma hizo kukosa umeme kwa saa 18. Wagonjwa hao wanaopokea huduma katika jengo la watoto kwa zamu ndani ya hospitali hiyo, walijikuta wakirundikana…

Read More

Kocha Berkane aondoka na jina la staa huyu Simba

KOCHA wa RS Berkane, Moine Chaabani, amekiri pamoja na timu anayoinoa kubeba ubingwa wa tatu wa Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kuzidi akili Simba ikiwa nyumbani kwa kulazimisha sare ya 1-1 kwenye Uwanja wa New Amaan, Zanzibar, lakini kuna jina la mchezaji waliloondoka nalo. Berkane ilitwaa ubingwa huo wa CAF ikiifikia CS Sfaxien ya…

Read More