Last updated May 26, 2025 Jumatatu ya kuwa mshindi imefika sasa. Piga maokoto yako ya maana na mabingwa wa odds kubwa Meridianbet leo kwani
Month: May 2025

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC Bank) imeelezea dhamira yake ya kuyatumia Mashindano ya mbio za magari ya Iringa Mkwawa Rally yanayofanyika kila mwaka mkoani Iringa ili

NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV BENKI ya Biashara ya Tanzania (TCB) imejipanga kuendeleza mageuzi ya kidijitali ili kuongeza ujumuishi wa kifedha kwa wajasiriamali wadogo na

Osaka- Japan 26 Mei, 2025 Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Mhe. Stanslaus Haroon Nyongo, ameshuhudia tukio muhimu la utiaji saini

Iringa. Wananchi, viongozi wameshiriki mazishi ya aliyekuwa diwani wa Kata ya Kiwere, Felix Waya aliyefariki dunia baada ya kumaliza kuhutubia kwenye mkutano katika mkutano wa

*UCSAF yaonya dhidi ya uharibifu wa minara ya mawasiliano, yaahidi kuimarisha uhamasishaji wa jamii SERIKALI kupitia Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) imeweka msisitizo mkubwa

Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi wawili akiwemo Abdul-Razak Badru aliyeteuliwa kuwa Kamishna wa Uhifadhi katika Mamlaka ya Hifadhi ya

NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV CHUO Kikuu cha Dar es salaam (UDSM) kwa kushirikiana na Watumishi Housing Investment (WHI),wamesaini mkataba wa makubaliano wa ujenzi na

Njombe. Mkazi wa mtaa wa sekondari uliopo kata ya Maguvani halmashauri ya mji wa Makambako wilayani Njombe, Yohana Kilowoko (37) amefariki dunia usiku wa kuamkia

Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Wakili Julius Mtatiro. Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog Umoja wa Wastaafu Tanzania (Retirees’ Association of Tanzania – REAT)