TAG wamlilia Askofu Lazaro, mamia wakimuaga

Moshi. Mamia ya waombolezaji, wamejitokeza kuuaga mwili wa aliyekuwa Askofu Mkuu wa kwanza wa Kanisa la Assemblies of God Tanzania (TAG) Tanzania, Emmanuel Lazaro (88), katika ibada iliyofanyika Kanisa la Kilimanjaro Revival Temple, Moshi mjini. Askofu Lazaro ambaye alizaliwa Oktoba 4, 1937, alifariki Mei 17, 2025 katika Hospitali ya Rufaa ya kanda ya Kaskazini KCMC,…

Read More

UDSM kujenga jengo la kisasa la uwekezaji kwa Sh8.3 bilioni

Dar es Salaam. Wakati Watanzania wakiendelea kufurahia uwekezaji katika mradi wa Mlimani City, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kinatarajia kuanzisha mradi mpya wa kisasa wa majengo utakaokiwezesha kuvuna mapato yanayokaribia Sh2 bilioni kwa mwaka. Uwekezaji huo mpya utafanyika ndani ya chuo hicho na katika mradi huo utakaopewa jina la Hill Park, chuo hicho…

Read More

WAHASIBU WA MAHAKAMA WATAKIWA KUZINGATIA MAFUNZO WATAKAYOYAPATA ILI KWENDA KUONDOA DOSARI NDOGO NDOGO

NA Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma MTENDAJI.Mkuuu wa Mahakama ya Tanzania Profesa Elisante Ole Gabriel amewataka wahasibu wa Mahakama hapa nchini kuzingatia mafunzo ili kwenda kuondoa dosari ndogo ndogo zinazobainika kwenye ripoti ya CAG kwa upande wa mahakama. Pia amewataka wahasibu hao,ambao hawana CPA kwenda kuongeza elimu ili kuzidi kupanua wigo wa taaluma hiyo kutokana na…

Read More

PPP, REDET WAANDA KONGAMANO KUJADILI UBIA KATI YA SEKTA YA UMMA, BINAFSI KUELEKEA DIRA YA UCHUMI MWAKA 2050

Na Said Mwishehe,Michuzi TV KITUO cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Binafsi(PPP) kwa kushirikiana na Taasisi ya Mpango wa Utafiti na Elimu ya Demokrasia Tanzania (REDET)chini ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM) wanatarajia kufanya kongamano litakaloshorikisha wasomi wa kada mbalimbali kwa ajili ya kupata mtazamo wa pamoja kuhusu ubia kati ya sekta…

Read More

TRA YAAGIZWA KUDHIBITI MAGENDO MPAKA WA TUNDUMA

Peter Haule, WF, Dodoma Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb) ametoa agizo kwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuhakikisha anaimarisha doria kwenye mipaka hususani maeneo yanayotumika kupitisha bidhaa kwa njia ya magendo Wilayani Momba mkoani Songwe kwa kushirikiana na wadau wengine. Agizo hilo amelitoa bungeni jijini Dodoma wakati akijibu…

Read More