DC KASILDA AWATAKA WATENDAJI WA SERIKALI KUWAJIBIKA..

NA WILLIUM PAUL, SAME.  MKUU wa wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro Kasilda Mgeni amewataka watendaji wa Serikali kuwajibika ipasavyo kwenye maeneo yao ya kazi na kueleza kuwa baadhi ya maeneo yamekuwa na changamoto kubwa zinazosababishwa na watendaji wa eneo hilo kutowajibika. Kasilida amesema kuwa hali hiyo inasababisha serikali kupewa lawama kutoka kwa wananchi na changamoto…

Read More

Wabunge wawachachamalia wanaharakati kutoka nje

Dodoma. Baadhi ya wabunge leo wamegeuka mbogo wakiwataja wanaharakati kutoka Kenya kwamba “wanachezea amani na usalama wa Tanzania”. Wengine wamekwenda mbali wakisema Tanzania ni Taifa imara na lenye nguvu na watu wake wana akili na wanajitambua. Wametoa kauli hizo kwa nyakati tofauti wakati wakichangia hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi kwa Wizara ya Mambo…

Read More

Unajua madhara kumhamisha mtoto shule?

Dar es Salaam. Wadau wa elimu na wataalamu wa Saikolojia wamesema kumhamisha mtoto kutoka kwenye mfumo mmoja wa elimu kwenda mwingine, kunaweza kumwathiri kitaaluma na kutojiamini. Imekuwapo tabia ya kuhamisha watoto kutoka shule moja kwenda nyingine, na aghalabu husababishwa na mambo mbalimbali ikiwamo kufuata mkumbo, mabadiliko ya hali ya kiuchumi, kuhama makazi, kufiwa na wazazi,…

Read More

Zile vurugu Simba, Berkane adhabu hii hapa

MASHABIKI wa Simba bado wanaendelea kujiuliza kutokana na timu huyo kupoteza fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika mbele ya RS Berkane, Morocco lakini gumzo ni kile kilichotokea mara baada ya pambano hilo lililochezwa kwenye Uwanja wa New Amaan, visiwani Unguja. Katika mchezo huo Berkane ilitwaa ubingwa, kulikuwa na tukio lililosambaa sana katika mitandao ya kijamii…

Read More

Imani potofu kikwazo matibabu ya mabusha, matende

Dar es Salaam. Imani potofu na dhana zisizo sahihi zimekuwa kikwazo kwa maelfu ya Watanzania kutafuta matibabu ya haraka kwa tatizo la mabusha, hali inayoweza kutibika kwa upasuaji rahisi, wataalamu wa afya wameonya. Mabusha, unaojulikana kwa uvimbe kwenye korodani kutokana na mkusanyiko wa majimaji, ni miongoni mwa magonjwa yaliyopuuzwa katika maeneo ya kitropiki (NTDs) ambayo…

Read More

Mabaraza huru ya habari duniani kukutana Tanzania

Dodoma. Mkutano mkuu wa mtandao wa mabaraza ya huru ya habari duniani unatarajiwa kufanyika nchini Julai 14 hadi 17, 2025 jijini Arusha ambapo vyombo vya habari vimetakiwa kuandaa maonyesho ya kazi zilizoleta mabadiliko katika jamii na Taifa. Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Ernest Sungura ameyasema hayo leo Mei 26, 2025 wakati wa…

Read More

Ujenzi wa minara 758 wafikia asilimia 90

Dar es Salaam. Mradi wa ujenzi wa minara 758 ulioanza mwaka 2023 umefikia asilimia 90.3 huku ukitajwa kuwa chachu ya ongezeko la watu wanaotumia huduma za mawasiliano Tanzania. Hadi Mei 23 mwaka huu, minara 682 ilikuwa tayari imekamilika huku mingine ikiwa katika hatua mbalimbali za kumaliziwa ujenzi. Hayo yamesemwa na Mtendaji Mkuu Mfuko Wa Mawasiliano…

Read More