Ulega awakomalia makandarasi wanaochelewesha miradi ya ujenzi

Lindi. Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amezidi kuwa mwiba kwa wakandarasi wanaoshindwa kutekeleza majukumu yao ipasavyo, akisema Serikali haitaongeza hata siku moja kwa atakayeshindwa kukamilisha mradi wa ujenzi kwa sababu za uzembe. Ulega alitoa msimamo huo jana Mei 25 mkoani Lindi, akiwa kwenye ziara ya ukaguzi wa ukarabati wa miundombinu ya ujenzi katika mikoa ya…

Read More

Mazingira magumu, makazi duni ya walimu yawaibua wawakilishi

Unguja. Pamoja na mabadiliko yanayoendelea katika sekta ya elimu Zanzibar, mazingira magumu wanayoishi walimu yametajwa kuwa kikwazo kwao, yakichangia kushindwa kupata utulivu wa kufundisha shuleni. Walimu wengi wamekuwa wakikabiliwa na changamoto za makazi, jambo linalowanyima nafasi ya kuishi maisha yenye hadhi na kutekeleza majukumu yao kwa utulivu. Wawakilishi wameeleza hayo hayo leo, Jumatatu Mei 26,…

Read More

Mbunge atekwa, apatikana hajitambui | Mwananchi

Moshi. Mbunge atekwa nyara na watu wasiojulikana akiwa anashiriki ibada, amepatikana akiwa ametupwa katika shamba la kahawa lililopo akiwa hajitambui. Tukio la kutekwa nyara kwa mbunge huyo lilianza kusambaa katika mitandao ya kijamii muda mfupi tu baada ya kutekwa, ambapo video iliyosambaa mitandaoni ilionyesha gari hilo likiondoka kwa mwendo kasi kutoka nje ya kanisa hilo….

Read More

Wawakilishi waikalia kooni Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu

Unguja. Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wameikalia kooni Bodi ya Mikopo Zanzibar kwa kuchelewesha fedha za kujikimu kwa wanafunzi licha ya kutengewa kiasi kikubwa cha fedha. Wamesema hali hiyo inasababisha wanafunzi kukosa utulivu kwenye masomo yao. Wakichangia mjadala wa hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali kwenye…

Read More

Polisi watoa kauli sakata la mchungaji kutekwa Arusha

Arusha. Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limeitaka familia ya Mchungaji wa Kanisa la Huduma ya Kristo, lililopo Mtaa wa FFU, kata ya Muriet mkoani Arusha, Steven Jacob (35), aliyekuwa ametekwa na watu wasiojulikana, kuwa na subira wakati wakikamilisha upelelezi wa tukio hilo. Polisi imetoa tamko hilo ikiwa imepita siku moja tangu familia ya mchungaji…

Read More