Yule refa wa Simba, Berkane kumbe ndo zake
KILICHOTOKEA kwa mwamuzi wa mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika baina ya Simba dhidi ya RS Berkane, Dahane Beida raia wa Mauritania, kinatajwa kuwa ni mwendelezo wa upepo mbaya alionao kwa timu za Tanzania huku baadhi ya uamuzi wa matukio uwanjani yakitafsiriwa si ya haki. Mwamuzi huyo analalamikiwa kuikandamiza Simba kutokana na kutotenda…