BALOZI.DKT. MWAMPOGWA ASIPOGOMBEA UBUNGE UCHAGUZI MKUU WA 2025 ATAWAKATISHA TAMAA WATOTO WA MASIKINI VIJIJINI
……. Na: Mwandishi Maalum. Je, unamfahamu Balozi.Dkt. Mohamed Mwampogwa wewe? Kama ndiyo, jambo jema, kama humfahamu, basi fuatana nami katika makala hii fupi kumuhusu kijana huyu mzalendo wa Tanzania. Balozi. Dkt. Mwampogwa ni Mwalimu kwa taaluma, Afisa Sanaa na Utamaduni, Askari wa Jeshi la Akiba nchini, Afisa Mawasiliano ya Umma, Kijana kutoka familia ya kimaskini…