KenGold: Morrison kuvaa uzi wa Simba ni uzalendo

Uongozi wa KenGold umesema kitendo cha nyota wa timu hiyo, Bernard Morrison kuonekana akiwa na jezi ya Simba ilihali ana mkataba na timu hiyo wanalichukulia kizalendo kwa kuwa Wekundu hao waliwakilisha nchi kimataifa. Morrison aliyewahi kucheza Yanga na Simba kwa misimu tofauti, alijiunga na KenGold dirisha dogo na hadi sasa bado ana mkataba hadi mwisho…

Read More

Dk Tulia alivyoacha mnyukano ubunge CCM Mbeya Mjini

Mbeya. Siku chache baada ya Mbunge wa Mbeya Mjini, Dk Tulia Ackson kutangaza nia ya kugombea ubunge katika Jimbo jipya la Uyole, makada wawili wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wameanza kupigana vikumbo Mbeya Mjini, huku wengine wakitarajiwa kutia nia muda wowote kuanzia sasa. Wawili hao wanaopigana vikumbo, yumo Mwenyekiti wa chama hicho Mbeya Mjini, Afrey…

Read More

KOICA Yajenga Maabara ya Kisasa ya 3D ATC

Na Mwandishi Wetu, Arusha Chuo cha Ufundi Arusha (ATC), kwa kushirikiana na Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Korea (KOICA), kimezindua rasmi maabara ya kisasa ya 3D Design yenye lengo la kuwajengea wanafunzi wa Kitanzania ujuzi wa kisasa katika fani za uhandisi na ubunifu. Uzinduzi huo umefanyika Mei 23, mwaka huu, na umeashiria kukamilika kwa…

Read More

Usiyoyajua kuhusu safari ya G55 hadi Chaumma

Dar es Salaam. Hatimaye siri ya mageuzi ya Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) kutoka hali ya ukame wa wanachama na ukata wa fedha hadi kuwa na uthabiti wa ghafla wa kisiasa na kifedha – imewekwa wazi. Mwenyekiti wa chama hicho, Hashim Rungwe (maarufu kama Mzee wa Ubwabwa), amefichua hatua kwa hatua kilichojiri nyuma ya…

Read More

Wizara nne kikaangoni wiki ya kesho

Dodoma. Katika Bunge la wiki hii, wizara nne zinatarajiwa kuingia kwenye mjadala wa makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2025/26, huku baadhi ya wananchi wakitaka Serikali kutoa majibu ya haraka kuhusu matukio ya watu waliotekwa, kupotea au kuuawa. Wizara hizo ni pamoja na ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Wizara ya Ardhi,…

Read More

Kweleakwelea waliovamia mashamba ya mpunga Kilombero,   wadhibitiwa

Kilombero. Mamlaka ya Afya ya Mimea na Viatilifu (TPHPA) kwa kushirikiana na Shirika la kudhibiti nzige wa jangwani, wamefanikiwa kuwadhibiti ndege aina ya Kweleakwelea waliovamia mashamba ya mpunga yaliyopo kwenye bonde la Mto Kilombero mkoani Morogoro. Kudhibitiwa kwa ndege hao kumesaidia kuokoa zaidi ya hekari 700 za mpunga zilizokuwa hatarini kuteketezwa. Akizungumza wakati wa kufanya…

Read More

Camara, Ngoma nusura wazichape New Amaan

KATIKA hali isiyo ya kawaida, wachezaji wawili wa Simba, kipa Moussa Camara na kiungo mkabaji Fabrice Ngoma, walinaswa wakiwa katika mzozo mkali uliokaribia kugeuka ugomvi wa wazi, wakitaka kuzichapa mbele ya mashabiki kwenye Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Tukio hilo lilijiri muda mfupi kabla timu hazijaenda mapumziko, wakati Simba ikiwa inaongoza kwa bao 1-0 dhidi ya…

Read More