Homera aagiza Chunya kukamilisha ujenzi wa sekondari

Chunya. Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Dk Juma Homera ameiagiza Halmashauri ya Wilaya ya Chunya kutoa Sh20 milioni zikamilishe Ujenzi wa shule ya mpya ya Sekondari Masache iliyopo Kitongoji cha Itumbi Kata ya Matundasi. Hatua hiyo imekuja kutokana na kilio cha diwani wa kata hiyo, Kimo Choga alichokitoa leo Jumapili Mei 25,2025 baada ya kumueleza…

Read More

Mke wa Tom Olaba awalilia Watanzania

KOCHA mkuu wa zamani wa Mtibwa Sugar na Ruvu Shooting za Tanzania, Mkenya Tom Olaba anasumbuliwa na maradhi ya kupooza mwili baada ya kufanyiwa upasuaji wa uti wa mgongo, huku mkewe akiomba misaada mbalimbali kwa ajili ya matibabu yake. Akizungumza na Mwanaspoti kutoka Kenya, mke wa kocha huyo, Elizabeth Olaba alisema kwa sasa Olaba matibabu…

Read More

Mtifuano mabasi ya Ngorika, wanafamilia wazidi kuvutana

Moshi. Ngorika hakujapoa, ni kauli unayoweza kuitumia kuelezea kinachoendelea kwenye umiliki wa mabasi ya Ngorika, baada ya mmoja wa wanafamilia ambaye ni Mwenyekiti wa bodi ya wadhamini ya Ally Mberesero Foundation, Charles Mberesero kudai mabasi mawili yamekatwakatwa na kuuzwa kama chuma chakavu. Hata hivyo, leo Jumapili Mei 25, 2025, Mwananchi ilipomtafuta aliyekuwa meneja wa kampuni…

Read More

ACT Wazalendo yajipanga kulitwaa Jimbo la Moshi vijijini

Moshi. Makada wawili wa Chama cha ACT – Wazalendo, wamechukua fomu za kuomba ridhaa ya chama chao kugombea ubunge jimbo la Moshi vijijini mkoani Kilimanjaro, katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba, mwaka huu. Makada hao Livin Msele na Jackson Masawe, wamechukua fomu kwa nyakati tofauti katika ofisi za chama hicho mkoa, zilizopo mtaa wa Kiusa,…

Read More

Balozi Shio agusia suala la amani Afrika

Dar es Salaam. Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia, Innocent Shio amesema licha ya changamoto ya vitisho vya ugaidi na ukosefu wa utulivu katika baadhi ya nchi za Afrika, juhudi zinaendelea kufanyika kuhakikisha amani inarejea. Balozi Shio ametoa kauli hiyo leo Jumapili, Mei 25, 2025, katika mbio maalumu za kuhitimisha maadhimisho ya Siku ya Afrika yaliyofanyika…

Read More

Majaliwa anadi vivutio vya utalii, uwekezaji Japan

Osaka. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema ushirikiano wa Tanzania na Japan umezidi kuimarika siku ha siku katika nyanja za kiuchumi, kisiasa na kidiplomasia ambapo mauzo ya biashara kati ya nchi hizo yameongezeka kutoka dola za Marekani bilioni saba mwaka 2023 hadi bilioni 37 kwa mwaka 2024. Majaliwa ameyasema hayo leo Jumapili, Mei 25, 2025 alipomwakilisha…

Read More

Muhali bado kikwazo vitendo vya udhalilishaji

Unguja. Wakati Serikali na wadau mbalimbali wakiendelea na juhudi za kupambana na vitendo vya udhalilishaji, bado muhali na hofu ya kuripoti matukio hayo yameendelea kuwa kikwazo kikubwa katika kutokomeza tatizo hilo. Hali hii imesemwa leo Jumapili, Mei 25, 2025, katika kikao kilichoandaliwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Masuala ya Wanawake (UN Women), kilichowakutanisha…

Read More

Kocha Mhispaniola akoshwa na vipaji vya Kitanzania

KOCHA wa akademi ya The Spain Rush-SPF, Mhispaniola Vicente Linares, ameongea jambo baada ya kushuhudia uwezo wa vijana wawili wa Kitanzania waliopo katika akademi hiyo mjini Valencia, Hispania. Katika mazungumzo yake na Mwanaspoti, Linares alieleza kushangazwa kwake na kile alichokiona kwa Sylvanus Marwa na Iddy Mataka makinda wawili wanaowakilisha Tanzania kwenye kikosi cha vijana chini…

Read More