Wadau walia danadana sheria ya habari Zanzibar

Unguja. Wadau wa habari Zanzibar wameendelea kuhoji sababu za kuchelewa kwa marekebisho ya Sheria ya Huduma za Vyombo vya Habari, mchakato ambao umedumu kwa karibu miaka 20. Hivi sasa, Zanzibar bado inatumia sera ya habari ya mwaka 2006 na sheria ya huduma za vyombo vya habari ya mwaka 1988. Wakizungumza katika maadhimisho ya Siku ya…

Read More

Mourice Sichone anaisikilizia Chippa United

MSHAMBULIAJI kinda wa Trident FC, Mourice Sichone amesema bado anasikilizia ofa ya Chippa United ya Afrika Kusini. Akizungumza na Mwanaspoti, Sichone alisema ni kweli ofa hiyo ipo ingawa hadi sasa hajafahamu kinachoendelea. Aliongeza kuwa mazungumzo zaidi yanaendelea kati ya timu hiyo na meneja wake lakini kwa sasa yuko bize na timu yake inayopambana kupanda Ligi…

Read More

Kiama wanaopangisha wachimbaji wadogo | Mwananchi

Dar es Salaam. Serikali imeamua kuja na mwarobaini wa kupunguza migogoro katika sekta ya madini inayohusisha wamiliki wa leseni za uchimbaji  na wachimbaji wadogo. Akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari  jijini Dar es Salaam kuhusu miaka minne ya mafanikio ya Rais Samia Suluhu Hassan katika sekta ya madini, Waziri wa Madini, Antony Mavunde,  amesema…

Read More

Chadema yampinga msajili, yatoa msimamo

Dar es Salaam. Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, John Heche amesema Kikao cha kamati kuu kilichokutana Jumamosi ya Juni 23, 2025 kimeridhia kwa kauli moja kutokuijibu barua ya msajili wa vyama vya siasa. Barua hiyo ya msajili aliituma kwa Chadema akielezea uamuzi wake wa kukitaka chama hicho kuitisha upya Baraza Kuu ili kuwaidhinisha viongozi wanane…

Read More

TFS YAKARIBISHA SEKTA BINAFSI/ WADAU WA UTALII KUWEKEZA KATIKA MSITU WA WEST KILIMANJARO

Na. Vero Ignatus,Siha Kilimanjaro Uzinduzi wa West Kili Forest Tour Challenge 2025 umefanyika rasmi mei 23,2025 lengo kuu likuwa ni kuinua Utalii Endelevu na Uchumi wa Kijani,kutangaza utalii wa ikolojia,vivutio vilivyopo na kutoa elimu ya uhifadhi kwa vitendo pamoja na kuona fursa zanuweiezaji ndani ya hifadhi ya shamba la Miti West Kilimanjaro. Akizungumza wakati akitoa…

Read More

Vikao CCM kuibuka na mrithi Dk Nchimbi?

Dar es Salaam. Swali kuu miongoni mwa wadau wa siasa, makada na wafuasi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), ni nani atakayeteuliwa kushika nafasi ya Katibu Mkuu wa chama hicho, inayoshikiliwa kwa sasa na Dk Emmanuel Nchimbi? Swali linaibuka kutokana na uwezekano wa Dk Nchimbi kuachia wadhifa huo ili kupata fursa ya kujiandaa kikamilifu na majukumu…

Read More

WAZIRI MKUU ANADI VIVUTIO VYA UTALII, UWEKEZAJI

▪️Ni katika siku ya Tanzania kwenye maonesho ya Osaka World EXPO 2025 ▪️Asema mauazo ya bidhaa za Tanzania Japan yafikia sh bilioni 37 ▪️Asisitiza Tanzania ni mahali salama kwa uwekezaji WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema ushirikiano wa Tanzania na Japan umezidi kukua katika nyanja za kiuchumi, kisiasa na kidiplomasia umezidi kuimarika siku hadi siku, ambapo…

Read More