Motsepe kutua Zanzibar na ndege binafsi

RAIS wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF), Dk. Patrice Motsepe, anatarajiwa kutua leo Jumapili  visiwani Zanzibar kwa ndege binafsi akitokea Afrika Kusini, ili ashuhudie mechi  ya fainali ya pili ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya mwenyeji Simba na RS Berkane kutoka Morocco. Taarifa kutoka ndani ya CAF zinaeleza kuwa, Motsepe ataongozana na wajumbe na…

Read More

KILI FAIR 2025 YAJIPAMBANUA KIMATAIFA.

   Na Jane Edward, Arusha  Maandalizi ya Maonyesho ya Kimataifa ya Utalii (KILIFAIR 2025) yanaendelea kwa kasi, huku tukio hilo kubwa likitarajiwa kufanyika kwa mafanikio makubwa katika jiji la Arusha. Maonyesho haya, ambayo hufanyika kila mwaka, yamejizolea sifa kama jukwaa muhimu la kukuza biashara za utalii, kuunganisha wadau wa sekta hiyo, na kutangaza vivutio vya…

Read More

Malezi ya watoto yanavyochochea ubabe katika jamii

Dar es Salaam. Natamani tutafakari jambo hili kwa kina. Nyumbani tumemzoesha mtoto fujo, fimbo, makofi, matusi na aina nyingine za ubabe. Sisi wazazi tunaamini hatuwezi kulinda mamlaka yetu bila kumsababishia mtoto maumivu iwe kwenye mwili wake au hisia zake. Ukiangalia yanayoendelea nyumbani hakuna mazungumzo yenye upendo na mtoto. Tunaamini amani na utulivu kwenye ngazi ya…

Read More

Machungu ya wanawake wanaozaa na wanaume tofauti

Dar es Salaam. Baadhi ya wanawake waliozaa na wanaume tofauti wanakumbana na changamoto za kijamii, kifamilia na kihisia. Wanahisi kutengwa na kulazimika kubeba mzigo wa malezi peke yao huku wakihukumiwa na jamii. Katika mahojiano maalumu na Mwananchi, baadhi ya wanawake wamefunguka kuhusu maisha yao ya kila siku, wakisema jamii imekuwa ikiwahukumu kwa mtazamo wa juu…

Read More

WAONYWA KUJIHUSISHA NA IMANI ZA KUSHIRIKIANA

 ***** Mkuu wa Polisi Wilaya ya Magu, Mrakibu Mwandamizi wa Polisi (SSP) Haji Makame, amewataka wananchi kuachana na imani za kishirikina ambazo zimekuwa chanzo kikuu cha mauaji na migogoro ya kijamii. SSP Makame ametoa wito huo katika mkutano wa hadhara uliofanyika kijiji cha Kisamba, kata ya Lubugu, wilayani humo, ikiwa ni muendelezo wa kampeni ya…

Read More