Watu Waliofariki Kwa Mafuriko Nigeria Wafikia 115 – Global Publishers
Last updated May 31, 2025 Watu zaidi ya 115 wamepoteza maisha na wengine kadhaa hawajulikani walipo baada ya mvua kubwa kunyesha katika jimbo la Niger, katikati mwa Nigeria, kwa mujibu wa mamlaka za eneo hilo siku ya Ijumaa. Mafuriko yalimeza mji wa Mokwa baada ya mvua kuanza kunyesha usiku wa Jumatano…