Othman aanza ziara Kanda ya Ziwa, aamsha ari ya mageuzi

Shinyanga. Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo Taifa, Othman Masoud Othman, amewahimiza wananchi wa Shinyanga kutafakari kwa kina kuhusu mchango wao katika kuleta mageuzi. Amewakumbusha kuwa kila kura ina thamani kubwa na ni silaha muhimu ya kuleta mabadiliko ya kweli. Akizungumza leo Jumamosi, Mei 24, 2025, katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Town School,…

Read More

Operesheni C4C ya Chaumma yasogezwa mbele hadi Juni Mosi

Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Salum Mwalimu ametangaza kusogezwa mbele kwa operesheni yao ya C4C (Chaumma For Change) ambapo sasa itazinduliwa Juni Mosi, 2025 jijini Mwanza badala ya Mei 30, 2025 iliyotangazwa awali. Operesheni hiyo ya Chaumma, itakayofanyika kwa kutumia chopa, ina lengo la kuimarisha chama hicho na…

Read More

Hifadhi ya Saanane yavuna Sh1.4 bilioni kwa miaka saba

Mwanza. Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha Saanane imekusanya zaidi ya Sh1.4 bilioni kutoka kwa watalii 123, 292 waliotemelea hifadhi hiyo kwa takriban miaka saba iliyopita, ikiwa ni wastani wa zaidi ya watalii 17,000 kwa kila mwaka. Katika kipindi hicho, jumla ya watalii 119,532 kutoka Mataifa ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) walitembelea hifadhi hiyo…

Read More

JKU yaweka rehani taji la ZPL, KVZ yaizima KMKM

MAAFANDE wa Mafunzo imekwea kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) baada ya kuizima JKU kwa mabao 2-1, huku KVZ ikiizima KMKM 2-0. Kipigo hicho kwa JKU kilichopatikana jioni ya leo kwenye Uwanja wa Mao B, mjini Unguja kimeiweka timu hiyo katika hatari ya kulitema taji la ubingwa ililotwaa msimu uliopita. JKU imesalia nafasi…

Read More

Kamati Kuu Chaumma yateua wakurugenzi wa chama, wamo G55

Dar es Salaam. Kamati Kuu ya Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) kimefanya uteuzi wa wakurugenzi katika idara mbalimbali za chama hicho, ikiwajumuisha viongozi waliotoka Chadema na wale waliojiuzulu nafasi zao kuwapisha wanachama wapya. Leo Jumamosi, Mei 24, 2025, kikao cha Kamati Kuu kilichohusisha wajumbe 15, kimefanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip, jijini…

Read More