Maboresho ya Mahakama yana mchango mkubwa kwa Taifa
Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma MAKAMU Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti, Twaha Mpembenwe amesema kuwa, maboresho ya Mahakama ya Tanzania yaliyofanyika yana mchango mkubwa katika kukuza uchumi wa Taifa. Mpembenwe ameyasema hayo jijini Dodoma,katika ukumbi wa mikutano wa Jengo la Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania jijini Dodoma wakati wa Semina…