SILAA AWANUNULIA VITI 100 TAASISI YA TASACO UKONGA
::::::::::: Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia na Mbunge wa Jimbo la Ukonga __Mh.Jerry Silaa ametoa Shilingi Milioni_ 1_ na laki 7 kwa Taasisi isiyo ya Kiserikali inayohudumia jamii kwa kutoa Elimu ya huduma ndogo za kifedha (TASACO) ili kusaidia kikundi hicho Katika huduma wanayoitoa ya kukodisha,viti maturubai na vyombo vya kupikia kwenye shughuli mbalimbali. Mh.Silaa…