Wawakilishi wataka hatua za wazi mifugo kuvamia mashamba ya wakulima
Unguja. Licha ya Serikali kueleza mipango yake ya kuimarisha kilimo, ikiwemo kuotesha miche na kuwagawia wakulima, wawakilishi wameibua changamoto kubwa inayowakumba wakulima, ikihusisha mazao yao kuharibiwa na mifugo, jambo linalosababisha hasara kubwa na kuzuia maendeleo ya kilimo cha maeneo hayo. Akichangia katika kipindi cha maswali na majibu leo Mei 24, 2025, Mwakilishi wa nafasi za…