Hatifungani ya miundombinu ya barabara kusaidia kukamilisha ujenzi wa barabara

Dodoma. Hatifungani ya Miundombinu ya Barabara (Samia Infrastructure Bond) inaenda kuondoa changamoto ya kutokamilika kwa wakati kwa ujenzi na matengenezo ya miundumbinu ya barabara kutokana na ucheleweshaji wa malipo kwa makandarasi. Hayo yamesemwa na Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano Wakala ya Barabara za Vijijini na Mjini (TARURA), Bi. Catherine Sungura wakati akijibu…

Read More

Camara wa Berkane adai Simba ina timu nzuri, lakini…

KIUNGO wa RS Berkane, Mamadou Lamine Camara, amesema licha ya ushindi wa mabao 2-0 walioupata katika fainali ya mkondo wa kwanza dhidi ya Simba SC huko Morocco, lakini hawatarajii mechi nyepesi kesho Jumapili kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar. Camara ambaye ni raia wa Senegal, amesema wanaiheshimu Simba kama timu kubwa barani Afrika lakini…

Read More

Kaseke: Pamba Jiji mechi moja tu freshi

KIUNGO mshambuliaji wa Pamba Jiji, Deus Kaseke amesema kwa hali ilivyo kwa timu hiyo inahitaji ushindi wa mechi moja tu kati ya mbili ilizonazo ili kubaki Ligi Kuu Bara kwa msimu ujao. Pamba iliyorejea katika Ligi Kuu baada ya kuisotea kwa miaka 23 tangu iliposhuka mwaka 2001, kwa sasa ipo nafasi ya 12 ikimiliki pointi…

Read More

Mgombea CWT aomba mdahalo na wenzake

Dodoma. Kampeni za uchaguzi kwa nafasi ya Rais wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) zimeshika kasi, huku mgombea kijana kuliko wote akiomba mdahalo na wenzake. Uchaguzi Mkuu wa CWT unatarajiwa kufanyika Mei 29, 2025 jijini Dodoma na tayari wagombea wameanza kupishana mikoani kusaka kura. James Ndomba (36), mwalimu wa Sekondari ya Msalato jijini Dodoma, anatajwa…

Read More

Ambokile aitega Mbeya City | Mwanaspoti

STRAIKA wa Mbeya City, Eliud Ambokile amesema pamoja na kufanikiwa kuirejesha timu hiyo katika Ligi Kuu, bado hana uhakika wa kuendelea kuwepo kikosini humo, huku akichekelea rekodi aliyoiweka katika Championship. Ambokile aliliambia Mwanaspoti kuwa mkataba wake unaisha, hivyo hana uhakika kama ataendelea kubaki Mbeya City kwani anaangalia sehemu yenye maslahi na mpira ndio kazi yake….

Read More

Lissu achaguliwa IDU akiwa gerezeni

Dar es Salaam. Muungano wa vyama vya kidemokrasia duniani (IDU) umemchagua, Tundu Lissu kuwa mmoja kati ya jopo la makamu wenyeviti wa muungano huo Kanda ya Afrika. Lissu ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha Demokarasia na Maendeleo (Chadema), amechaguliwa sambamba na Waziri Mkuu mstaafu wa 22 wa Canada, Stephen Harper anayeendelea kuwa mwenyekiti wa muungano…

Read More

Diarra awagawa mabosi Yanga  | Mwanaspoti

VIUNGA vya Jangwani mambo yanaonekana kana kwamba yamepoa, kikosi cha Yanga kikiwa mawindoni katika viwanja vya mazoezi kujiwinda na michezo iliyobaki kumalizia msimu huu wa Ligi Kuu Bara na fainali ya Kombe la Shirikisho (FA). Lakini, wakati maisha yakiwa hivyo pale Jangwani, kule Msimbazi wako katika hatua za mwisho mwisho za mikakati ya kumalizana na…

Read More

Chama la Wana, Geita mzigoni upyaaa

KAMA ulidhani mambo yameisha katika Ligi ya Championship baada ya Mtibwa Sugar kubeba ubingwa na kupanda Ligi Kuu Bara sambamba na Mbeya City, pole yako. Kazi nd’o kwanza imeanza wakati leo Jumamosi ikipigiwa mechi ya mkondo wa kwanza ya mtoano (play-off) kuwania tiketi ya kucheza Ligi Kuu msimu ujao wakati Geita Gold na Stand United…

Read More