Aziz KI amuibua beki wa zamani
NYOTA wa zamani wa Yanga, Haji Mwinyi Ngwali, ameshindwa kujizuia na kuibuka akiwatoa hofu mashabiki wa timu hiyo kuhusu kuondoka kwa kiungo mahiri, Stephane Aziz KI, kwa kusema klabu hiyo bado ina wachezaji bora wanaoweza kuchukua nafasi yake bila kupunguza ubora wa timu. Aziz KI aliyeitumikia Yanga kwa misimu mitatu tangu aliposajiliwa 2022 kutoka ASEC…