TAASISI YA ELIMU TANZANIA,KAMPUNI YA JOLLY FEATURES WAANDAA MAFUNZO KWA WALIMU SHULE YA MSINGI

Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia kupitia Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) kwa kushirikiana kampuni ya Jolly Features wameandaa mafunzo kwa walimu wa shule ya msingi kuhusu mbinu za kufundisha Kiingereza ili kuwajengea umahiri utaosaidia wanafunzi kujifunza vyema. Mafunzo hayo ya siku tatu yalianza Mei 22, 2025 , huku yakihusisha walimu wa Darasa la Kwanza,…

Read More

Mbeya yasuka mipango ya kurejesha nne Bara

CHAMA cha Soka Mkoa wa Mbeya (Mrefa) kimesema kupoteza timu tatu zilizokuwa Ligi Kuu si jambo la kufumbia macho, bali inahitaji mkakati wa pamoja kurejesha heshima ya mkoa huo. Mbeya ilikuwa ikichuana na Dar es Salaam kwa kuwa na idadi kubwa ya timu nyingi Ligi Kuu, ambapo msimu wa 2021/22 ilikuwa nazo nne zikiwamo, Ihefu,…

Read More

Makalla awavaa Chadema Simiyu, adai wanawapotosha wananchi

Simiyu. Chama cha Mapinduzi (CCM) kimesema Serikali inawathamini wananchi wa Mkoa wa Simiyu, wakiwemo wakulima wa mpunga na pamba, ndio maana imefanya jitihada mbalimbali za kuboresha mazingira ya kilimo cha mazao hayo ili kuyaongezea thamani. Kutokana na hilo, CCM imewataka wananchi wa Simiyu kupuuza maneno yanayosemwa na baadhi ya viongozi wa upinzani waliodai Serikali haijafanya…

Read More

Piga Pesa Nyingi Leo – Global Publishers

Last updated May 22, 2025 Siku ya kupiga mzigo wa maana iemefika. Odds kibao na machaguo zaidi ya 1000 zinapatikana leo. Weka jamvi lako na ubashiri hapa. SUPER LEAGUE pale Uswizi inatarajiwa kuendelea ambapo Yverdon-Sport atamualika kwake FC Zurich ambao wanashika nafasi ya 7 na mwenyeji wake nafasi ya 12. Meridianbet wameipa mechi hii…

Read More

Mbaroni kwa kumuua mpenzi wake kisa wivu wa mapenzi

Musoma. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara linamshikilia Machegere Wambura (52), mkazi wa Kijiji cha Robanda kilichopo Wilaya ya Serengeti Mkoa wa Mara kwa tuhuma za kumuua mpenzi wake kutokana na ugomvi uliotokana na wivu wa mapenzi. Akizungumza na waandishi wa habari mjini Musoma leo Ijumaa Mei 23, 2025, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara,…

Read More

Je, Una Ujasiri Wa Kuivunja Milango Ya Olympia?

Mchezo huu sio wa kawaida – ni wa mashujaa, wenye malipo makubwa, na msisimko wahali ya juu! Ukiwa na Meridianbet, unapata: Mizunguko ya BURE (Free Spins) – Fungua bonasi na ushinde spins za bure kwa kilaushindi unaofuzu! Multipliers KUBWA hadi x500 – Ndiyo! Ushindi wako unaweza kuongezeka mara nyingikwa nguvu ya Zeus! Graphics za Hali…

Read More

Kupata shahada Sua siyo lelemama, Mbeki atoa ahadi

Morogoro. Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), Profesa Raphael Chibunda amesema kuwa kupata shahada katika chuo hicho hakujawahi kuwa jambo rahisi na haitawahi kuwa rahisi, kutokana na viwango vya juu vya kitaaluma vinavyodumishwa na chuo hicho. Mbali na kauli ya Profesa Chibunda, Rais mstaafu wa Afrika Kusini, Thabo Mbeki, ametembelea eneo…

Read More

SERIKALI IMETOA RUZUKU YA ASILIMIA 20 HADI 50 KWENYE MITUNGI YA GESI LAKI 4.4 – KAPINGA

…………………… 📌 Asema lengo ni kupunguza gharama na kuhamasisha Nishati Safi ya Kupikia 📌  REA kusambaza majiko banifu 200,000 kwa punguzo la hadi asilimia 75 📌 Baada ya umeme kufika kwenye vijiji vyote; Serikali kuendelea kuhamasisha matumizi ya majiko ya umeme Naibu Waziri wa Nishati, Mhe Judith Kapinga amesema Serikali imetoa ruzuku ya asilimia 20…

Read More