Srelio haitaki kurudia makosa | Mwanaspoti

BAADA ya timu ya Srelio kupoteza michezo miwili ya kwanza, kocha wa timu hiyo Miyasi Nyamoko amesema kwa mechi dhidi ya maafande wa ABC hawatarudia makosa katika vita ya Ligi ya Kikapu ya Mkoa wa Dar es Salaam (BDL). “Kwa kweli hadi tunafikia michezo tulizopoteza, tumeitana na tumejadiliana, ili kujua kitu kilichotungusha na tumeshajua sababu na sasa…

Read More

MATUMIZI BORA YA ARDHI KUONDOA MIGOGORO BIHARAMULO

……. Na Daniel Limbe,Torch media WANANCHI wilayani Biharamulo mkoani Kagera wametakiwa kuheshimu mipaka ya maeneo yaliyotengwa kwaajili ya matumizi bora ya ardhi ili kuepusha migogoro isiyokuwa ya lazima katika jamii. Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya hiyo,Innocent Mkandara,ametoa agizo hilo kwenye kikao cha Baraza la madiwani wa halmashauri hiyo na kuwataka watendaji wa Umma kusimamia kikamilifu…

Read More

Kahama Sixers yaendeleza moto | Mwanaspoti

KLABU ya Kikapu ya Kahama Sixers imeanza vizuri kampeni ya kutetea taji la ubingwa wa Ligi ya Mkoa wa Shinyanga, baada ya kuifunga Risasi kwa pointi 54-46, katika mchezo uliopigwa  kwenye Uuwanja wa Kahama, mjini humo. Mara ya mwisho timu hizo zilipokutana fainali  ya  mwaka jana,  Kahama iliishinda Risasi  michezo 3-1.  Kahama Sixers ilianza mchezo kwa…

Read More

Kijiwe kinaitakia kila la kheri Simba Zenji

MNYAMA kapambana sana ili mechi yake ya marudiano ichezwe kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa badala ya New Amaan Complex, lakini ndivyo hivyo tena, bosi siku zote hakosei na huwa yuko sahihi. Katika hili, bosi ni CAF ambayo ndiye tayari imeshaamua kuwa Simba na RS Berkane mechi yao ikapigwe Zanzibar badala ya Dar es Salaam iwe…

Read More

Mkosa, Ebongo wawa kivutio BDL

WAKATI Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BDL) ikizidi kushika kasi,  nyota wa timu mbili tofauti, Amin Mkosa wa Dar City na Mikado Ebengo wa DSM Outsiders wameonekana kuwa kivutio katika Ligi hiyo. Kivutio cha wachezaji hao, imetokana na uwezo  wa kucheza vizuri katika nafasi wanazocheza na  kuzibeba timu zao. Wachezaji hao wote…

Read More