Mchinjita wa ACT Wazalendo adaiwa kukamatwa na Polisi
Dar es Salaam. Makamu Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo, Isihaka Mchinjita anadaiwa kukamatwa na Jeshi la Polisi baada ya kutembelea mradi wa mwendokasi kuangalia kero wanazopitia wananchi. Taarifa ya kukamatwa kwa kiongozi huyo wa ACT Wazalendo imetolewa na ofisa habari wa chama hicho, Abdallah Khamis leo Mei 23,2025. “Alikuwa akifanya ziara ya kushtukiza katika…