TUNU YATAIFA YATAKIWA KULINDWA STERGOMEAN

…… Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Stergomena Lawrence Tax amesema kuwa serikali ya awamu ya sita imeweza kufanikisha kulinda tunu za taifa kupitia Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa.  Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma wakati akielezea mafanikio ya Wizara hiyo katika kipindi cha miaka minne chini ya…

Read More

Mlandege yajiweka pazuri mbio ubingwa ZPL

MABINGWA wa Kombe la Mapinduzi, Mlandege imeendelea kuufukuzia ubingwa wa Ligi Kuu Zanzibar (ZPL), baada ya kuichapa Mwenge kwa bao 1-0 katika mechi iliyopigwa jana kwenye  Uwanja wa Mao A, mjini Unguja. Bao hilo pekee lililoipa Mlandege poinri tatu muhimu lilifungwa na Mussa Hassan dakika ya 63. Licha ya Mlandege kutoka na ushindi, lakini  ilionekana…

Read More

Jinyakulie Maokoto Mengi na Meridianbet Leo

NI Alhamisi murua kabisa ndani ya Meridianbet leo ambapo nafasi ya wewe kuibuka na zaidi ya mamilioni imefika. Timu za ushindi zpo tayari na ODDS za kibabe zinakusubiri. Ingia kwenye akaunti yako na ubashiri sasa. Ligi kuu ya Saudi, SAUDI PROFESSIONAL LEAGUE inatarajiwa kuendelea siku ya leo hivyo na wewe ingia mzigoni kusaka Odds za…

Read More

Wabunge wacharuka fedha kilimo kutopelekwa kwa wakati

Dodoma. Wabunge wameijia juu Serikali kwa kushindwa kuipelekea fedha za kutosha Wizara ya Kilimo, ikilinganishwa na bajeti iliyopitishwa katika mwaka wa fedha 2024/2025. Wamesema hali hiyo imechangia kwa kiwango kikubwa kukwamisha baadhi ya shughuli za maendeleo za sekta hiyo, huku baadhi wakitaka kuanzishwa kampeni ya kuondoa jembe la mkono. Wabunge hao wameyasema hayo leo Mei…

Read More

Mikopo ya asilimia 10 yaibua mjadala, mawaziri watofautiana

Unguja. Mawaziri wawili wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) wametofautiana ndani ya Baraza la Wawakilishi kuhusu utekelezaji wa utoaji wa asilimia 10 ya mapato ya halmashauri kwa ajili ya mikopo kwa makundi maalumu. Mawaziri waliotofautiana ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Kazi, Uchumi na Uwekezaji, Shariff Ali Shariff, aliyeeleza kuwa baadhi ya halmashauri…

Read More

Wizara ya Ujenzi yatoa vipaumbele vya kuipeleka Zanzibar kwenye uchumi wa kidijitali

Unguja. Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi imeweka mkazo katika utekelezaji wa vipaumbele vyake vinavyolenga kuendeleza miundombinu ya barabara, bandari na viwanja vya ndege, sambamba na kuimarisha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama), ili kuiwezesha Zanzibar kufikia uchumi wa kidijitali. Akiwasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya bajeti ya mwaka 2025/2026 leo, Mei 22, 2025,…

Read More

Ukata bado kikwazo utekelezaji bajeti ya EAC

Dar es Salaam. Wakati mjadala wa bajeti ya mwaka 2025/2026 ukiendelea, Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) imebainika kukabiliwa na ukata wa kifedha, gazeti dada la The Citizen limeeleza. Hali hiyo inatokana na baadhi ya nchi wanachama kuchelewesha au kutotekeleza kabisa wajibu wao wa kuchangia bajeti ya kila mwaka, kwa mujibu wa nyaraka zilizoonwa na The…

Read More