Wasira: Hali ya kisiasa Tanzania ni tulivu

Dar es Salaam. Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira amesema hali ya kisiasa nchini ni tulivu. Kauli ya Wasira kuhusu hali ya kisiasa nchini inatokana na kile alichosema kwamba alimsikia mwanazuoni mmoja akidai kuwa hali ya siasa Tanzania ni mbaya. “Nimemsikia mwanazuoni, sijui mwandishi wa habari, akisema hali ya siasa Tanzania…

Read More

Thabo Mbeki: Afrika tunakwama hapa

Dar es Salaam. Kukosekana kwa taasisi imara zinazoyaweka pamoja makundi mbalimbali ya Waafrika kujadili kuhusu hatma ya bara lao, kimetajwa kuwa kikwazo cha kupatikana jawabu la changamoto zinazoikabili Afrika. Kwa mujibu wa Rais mstaafu wa Afrika Kusini, Thabo Mbeki, zamani Afrika ilikuwa na taasisi mbalimbali za vijana, wanawake na makundi mengine zinazowaweka pamoja kujadili na…

Read More

JWTZ yajivunia kutoa msaada na uokoaji kwa binadamu

Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma WIZARA ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa limesema limeimarisha uwezo wa Jeshi la Kujenga Taifa (JWTZ) katika shughuli za kukabiliana na majanga kwa kutoa misaada ya uokoaji na kibinadamu,” Hayo yameelezwa leo Mei 22,2025 jijini Dodoma na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk. Stergomena Tax, wakati…

Read More

WAZIRI ULEGA AAGIZA IDADI YA MAFUNDI SANIFU KUONGEZWA

  Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ameiagiza Bodi ya Usajili wa Wahandisi (ERB) kuongeza juhudi za kusajili wataalam wa kada ya mafundi sanifu na kuwajengea uwezo, kwani idadi iliyopo sasa hailingani na ile wanaostahili kusajiliwa.   Waziri Ulega alitoa agizo hilo leo tarehe 22 Mei, 2025 mkoani Dar es Salaam wakati wa maadhimisho ya saba…

Read More

SERIKALI YA ZANZIBAR YA KUSANYA ZAIDI YA BILION 300 KUPITIA HATIFUNGANI YA KIISLAMU -SUKUK ZANZIBAR

  Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imeandika historia mpya ya kiuchumi baada ya kufanikisha ukusanyaji wa zaidi ya shilingi bilioni 300 kupitia hatifungani inayozingatia misingi ya Kiislamu, maarufu kama Sukuk Zanzibar. Mafanikio hayo yamepatikana kupitia soko la awali, ambapo wawekezaji mbalimbali walijitokeza kuchangamkia fursa hiyo.   Fedha zilizopatikana kupitia Sukuk Zanzibar zitaelekezwa moja kwa moja katika…

Read More

Kocha Simba afichua walivyofurahia Azizi Ki kutimka

KITENDO cha Aziz KI kukubali dili la kutua Wydad, atakuwa anaweka kwenye waleti mshahara wa Sh72.3 milioni kwa mwezi. Ni mara mbili ya aliokuwa akilipwa Yanga. Kingine ni kwamba mkataba wa Aziz KI na Wydad utakuwa wa miaka miwili akianza kucheza michuano ya Klabu Bingwa Dunia itakayofanyika Juni 15, 2025 hadi Julai 13, 2025, huko…

Read More