Tanroads yapangua watendaji kusuasua mradi wa BRT4

Dar es Salaam. Takriban wiki moja baada ya Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega kutoa maagizo ya kufanyika kwa uchunguzi dhidi ya mwenendo wa ujenzi wa miundombinu ya Mabasi Yaendayo Haraka (BRT), awamu ya nne, Wakala wa Barabara nchini (Tanroads) imetangaza kufanya mabadiliko ya baadhi ya watendaji wa BRT.  Mabadiliko hayo yanamhusu Mhandisi Mkazi wa Mradi…

Read More

RS Berkane yatua  ikiingiwa ubaridi

WAKATI joto la fainali ya marudiano ya Kombe la Shirikisho la CAF likizidi kupanda Zanzibar, kikosi cha RS Berkane ya Morocco kimetua salama nchini, huku kikiwa na presha ya mechi ya Jumapili dhidi ya Simba itakayopigwa kwenye Uwanja wa New Amaan Complex. Kocha mkuu wa Berkane, Mtunisia Mouin Chaabani na nahodha wa timu hiyo, Issoufou…

Read More

WAZIRI ULEGA AAGIZA IDADI YA MAFUNDI SANIFU KUONGEZ

::::::: Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ameiagiza Bodi ya Usajili wa Wahandisi (ERB) kuongeza juhudi za kusajili wataalam wa kada ya mafundi sanifu na kuwajengea uwezo, kwani idadi iliyopo sasa hailingani na ile wanaostahili kusajiliwa. Waziri Ulega alitoa agizo hilo leo tarehe 22 Mei, 2025 mkoani Dar es Salaam wakati wa maadhimisho ya saba ya…

Read More

Tanzania Prisons yajipanga upya | Mwanaspoti

KOCHA wa Tanzania Prisons, Amani Josiah amesema mapumziko ya wiki mbili aliyotoa kwa wachezaji anaamini yatawajenga na kupata nguvu mpya ya kufanya vizuri katika mechi mbili zilizosalia ikiwamo ile ya nyumbani dhidi ya Yanga. Baada ya ushindi wa mabao 2-1 ilioupata mechi ya mwisho dhidi ya Coastal Union, wachezaji wa Prisons walipewa mapumziko na wanatarajia…

Read More

Google Veo 3 yatajwa kupindua tasnia ya filamu duniani

Dar es Salaam. Teknolojia ya Akili Mnemba inayotengeneza maudhui ya picha na video inazidi kushika kasi, baada ya kampuni ya Google kuja na toleo la programu (Generative AI) ya VEO 3 inayoweza kutengeneza video zenye sauti, mandhari, pamoja na mazungumzo ya wahusika. Awali, wakati wa kuanza kwa Akili Mnemba, sehemu kubwa iliweza kutengeneza picha kisha…

Read More

Kilichoiangusha Tabora United hiki hapa

KICHAPO cha bao 1-0, ilichokipata Tabora United dhidi ya KMC FC, Mei 14, 2025, kimeifanya timu hiyo kufikisha mechi sita mfululizo za Ligi Kuu bila ya ushindi, tangu mara ya mwisho ilipoifunga Dodoma Jiji FC 1-0, nyumbani, Februari 28, 2025. Timu hiyo inayofahamika kwa jina la utani la ‘Nyuki wa Tabora’, ilianza msimu vizuri lakini…

Read More

Waliohukumiwa jela maisha kwa ubakaji, washinda rufaa

Arusha. Mahakama ya Rufaa imebatilisha na kufuta adhabu ya kifungo cha maisha jela waliyokuwa wamehukumiwa Juma Mayala na Khamis Abdallah, baada ya kukutwa na hatia ya ubakaji wa genge. Aidha Mahakama hiyo imebatilisha na kufuta adhabu ya kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la unyang’anyi wa kutumia silaha waliyokuwa wamehukumiwa Goodluck Faustine na Mnanka…

Read More