ABSA NA THE RUNNERS WACHANGIA VIFAA TIBA KWA WODI YA WAJAWAZITO NA DHARURA MNAZI MMOJA
:::::::: Benki ya Absa kwa kushirikiana na klabu ya The Runners wamekabidhi msaada wa vifaa tiba katika Kituo cha Afya cha Mnazi Mmoja, hususan katika wodi ya wazazi na dharura, ikiwa ni sehemu ya juhudi zao za kuchangia sekta ya afya nchini. Akizungumza wakati wa hafla ya makabidhiano hayo, Makamu wa Rais wa The Runners,…