Mikoa hii ijipange kwa baridi Juni hadi Agosti

Dar es Salaam. Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema kuanzia Juni hadi Agosti, 2025 kutakuwa na baridi kali na ya wastani katika mikoa sita nchini. Pia, maeneo mbalimbali nchini yatashuhudia joto, mvua zisizotabirika na kipupwe, huku athari ikitajwa kuwa ni magonjwa yanayohusiana na hali ya hewa ya baridi kama vile homa ya mapafu…

Read More

Mwanaharakati wa Kenya Boniface Mwangi aachiwa huru Tanzania

Nairobi. Mwanaharakati, Boniface Mwangi aliyekuwa anadaiwa kuwekwa kizuizini nchini Tanzania  amepatikana eneo la Ukunda, Kwale nchini Kenya. Awali, Mwangi na wanaharakati wenzake akiwemo Martha Karua walisafiri kutoka nchini Kenya hadi Tanzania kuhudhuria usikilizwaji wa kesi za Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu katika mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam. Hata…

Read More

Kilio wananchi, madereva kero ya foleni Dar

Dar es Salaam. Ukiacha wingi wa mishemishe, starehe, biashara na vituko vinavyotokana na idadi kubwa ya watu katika Jiji la Dar es Salaam, msongamano wa magari barabarani ni moja ya karaha yenye maumivu yanayogusa sekta nyingi. Mbali na kuwa kikwazo cha kuwahi kazini, msongamano wa magari unadhoofisha uzalishaji wa nchi, unaongeza gharama za usafiri na…

Read More

Janga la foleni Dar | Mwananchi

Dar es Salaam. Ukiacha wingi wa mishemishe, starehe, biashara na vituko vinavyotokana na idadi kubwa ya watu katika Jiji la Dar es Salaam, msongamano wa magari barabarani ni moja ya karaha yenye maumivu yanayogusa sekta nyingi. Mbali na kuwa kikwazo cha kuwahi kazini, msongamano wa magari unadhoofisha uzalishaji wa nchi, unaongeza gharama za usafiri na…

Read More

Benki ya NBC Yazindua Rasmi Msimu wa Sita wa Mbio za NBC Dodoma Marathon, Yajivunia Mafanikio Miaka mitano

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imezindua rasmi msimu wa sita wa mbio za NBC Dodoma Marathon zinazotarajiwa kufanyika Julai 27 mwaka huu jijijni Dodoma. Katika msimu wa mwaka huu benki hiyo inatarajia kuvunja rekodi ya ushiriki kwa kufikisha wakimbiaji 12,000 kutoka wakimbiaji 8,000 msimu uliopita na hivyo kuiweka kama moja ya mbio kubwa zaidi…

Read More

Tanzania na Umoja wa Ulaya kuendeleza Ushirikiano wa Kimkakati

Brussels, 21 Mei,2025 Tanzania na Umoja wa Ulaya wamekubaliana kuendeleza ushirikiano wa kimkakati baina yao. Makubaliano hayo yamefikiwa katika Kongamano la Bajeti la Umoja wa Ulaya lililofanyika jijini Brussels Ubeligiji ambapo ujumbe wa Tanzania uliongozwa na Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais , Mipango na Uwekezaji, Mhe. Stanslaus Nyongo. Akizungumza katika Kongamano hilo lililokuwa…

Read More

Hospitali Mkoa Manyara Yaanza Kusafisha Damu

…………… Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa  Manyara imeanza rasmi kutoa huduma ya kusafisha damu  kwa wagonjwa wa figo, baada ya Bohari ya Dawa(MSD) Kanda ya Kilimanjaro kukamilisha kufunga mashine sita (6) kwa ajili ya huduma hiyo.  Meneja wa MSD Kanda ya Kilimanjaro Rehema Shelukindo ameeleza kuwa mashine hizo sita ni za awali, na mashine…

Read More

MO Dewji atoa kauli nzito Simba kupelekwa Zanzibar

RAIS wa klabu ya Simba, Mohamed ‘MO’ Dewji, ametoa kauli nzito kuhusiana na mechi ya pili ya fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kupelekwa kwenye Uwanja wa New Amaan, Zanzibar, humu akiwahamasisha wanasimba kwamba mnyama atanguruma popote na Jumapili itabeba ndoo. Simba inatarajiwa kurudiana na RS Berkane ya Morocco Jumapili ya Mei 25 baada ya…

Read More