MO Dewji atoa kauli nzito Simba

RAIS wa klabu ya Simba, Mohamed ‘MO’ Dewji, ametoa kauli nzito kuhusiana na mechi ya pili ya fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kupelekwa kwenye Uwanja wa New Amaan, Zanzibar, humu akiwahamasisha wanasimba kwamba mnyama atanguruma popote na Jumapili itabeba ndoo. Simba inatarajiwa kurudiana na RS Berkane ya Morocco Jumapili ya Mei 25 baada ya…

Read More

Mbunge akerwa wanafunzi kusimama katika mabasi

Dodoma. Mbunge wa Viti Maalumu, Latifa Juakali amesema kumekuwa na changamoto kwa wanafunzi wa shule za msingi ambao wanapanda kwenye mabasi ya shule ambao kwa mwaka mzima hawajawahi kuketi katika basi. Akiuliza maswali ya nyongeza leo Alhamis, Mei 22, 2025 katika kipindi cha maswali na majibu bungeni, Latifa amehoji Serikali haioni haja ya kutoa kauli…

Read More

Saa mbili nzito za Fadlu, wachezaji waazimia haya

KIKOSI cha Simba kimeshatinga visiwani Zanzibar tayari kwa maandalizi ya mechi ya pili ya fainali za Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya RS Berkane ya Morocco, lakini kabla ya kuondoka jijini Dar es Salaam kocha mkuu wa timu hiyo, Fadlu Davids amefanya jambo moja na mastaa na kutoa msimamo. Fadlu aliyeweka rekodi ya kuwa kocha…

Read More

Rais Mwinyi aibeba Simba, alipia gharama zote Amaan

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Ali Mwinyi, ametoa zawadi maalum kwa timu ya Simba kwa kugharamia matumizi ya Uwanja wa New Amaan Complex uliopo Unguja utakaotumika kwa mechi ya fainali ya pili ya Kombe la Shirikisho la Afrika, itakayofanyika Jumapili, Mei 25, 2025 kuanzia saa 10 jioni. Hayo yameelezwa…

Read More

Kauli za Malema zamponza Ramaphosa, Trump aibua ushahidi mauaji

Washington. Ziara ya Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa nchini Marekani imegeuka shubiri baada ya mwenyeji wake Rais, Donald Trump kuibua vielelezo na ushahidi wa matukio ya mauaji ya wakulima weupe (Afrikaners) waishio Afrika Kusini. Hata hivyo, Rais Ramaphosa pamoja kuonyesha kushtushwa na vielelezo hivyo vya video na picha zilizochapishwa kwenye magazeti, amemuomba Trump kumsaidia…

Read More

Mbunge adai kufanyiwa figisu asirudi bungeni

Dodoma. Homa uchaguzi mkuu wa Oktoba, 2025 imezidi kutanda ndani ya Bunge baada ya Mbunge wa Kyerwa (CCM), Innocent Bilakwate kudai kuwa kuna kiongozi anahonga pesa kwa mabalozi ili asichaguliwe. Amesema hatua ya kiongozi huyo ambaye pia ni mfanyabiashara wa kahawa imekuja baada ya Bilakwate kupambania maboresho ya bei ya kahawa. Uchaguzi mkuu wa Rais,…

Read More

ASKARI 155 WAPANDISHWA VYEO MKOANI RUVUMA

Songea-Ruvuma. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Marco G. Chilya, kwa niaba ya Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP) Camillus Wambura, amewapandisha vyeo askari 155 waliohitimu mafunzo ya upandishaji vyeo kwa mwaka 2024/2025 na kufaulu kwa mafanikio. Shughuli ya uvalishwaji wa vyeo hivyo imefanyika katika viwanja vya Kikosi…

Read More

Akili Mnemba ya Gemini kujumuishwa kwenye ‘Google Search’

Dar es Salaam. Ili kurahisisha utafutaji taarifa mtandaoni kampuni ya Google inayomiliki Akili Mnemba (AI) ya mazungumzo ya Gemini imeamua kuiweka programu hiyo kwenye kipengele cha kutafuta cha ‘Google Search’. Hatua hiyo inatajwa kumrahisishia mtumiaji kutafuta taarifa sambamba na kumpa uzoefu wa matumizi ya Akili Mnemba. Ikumbukwe Akili Mnemba ni teknolojia inayowezesha kompyuta na mashine…

Read More