Masaa mawili mazito ya Fadlu, wachezaji waazimia haya
KIKOSI cha Simba kimeshatinga visiwani Zanzibar tayari kwa maandalizi ya mechi ya pili ya fainali za Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya RS Berkane ya Morocco, lakini kabla ya kuondoka jijini Dar es Salaam kocha mkuu wa timu hiyo, Fadlu Davids amefanya jambo moja na mastaa na kutoa msimamo. Fadlu aliyeweka rekodi ya kuwa kocha…