Chaumma kutumia chopa kunadi operesheni yake mpya mikoa 16

Dar es Salaam. Chaumma baada ya kuwapokea wanachama wapya, Katibu Mkuu wa chama hicho, Salum Mwalimu ametangaza mikakati mipya ikiwemo mwishoni mwa mwezi huu wanatarajia kuzindua operesheni ya C4C Tusonge mbele itakayozunguka mikoa yote. Operesheni hiyo inayotafsiri ‘Chaumma for Change’, itazinduliwa mkoani Mwanza Mei 30, 2025 kabla ya kuendelea katika mikoa yote nchini kwa siku…

Read More

Mila potofu, umaskini vikwazo matibabu ya fistula

Mbeya. Wakati kila ifikapo Mei 23 dunia huadhimisha Siku ya Kimataifa ya Fistula Duniani, umaskini na mila potofu bado kikwazo kwa waathirika kupata tiba ya maradhi hayo. Katika hatua nyingine, imeelezwa kuwa kati ya wanawake 2,000 hadi 3,000 wanaobainika kuwa na fistula kila mwaka, ni 1,500 pekee wanaofika kupatiwa matibabu, huku Mkoa wa Dar es…

Read More

KUPITIA MRADI WA FEMA AILEADERS WABUNGE WABUNIFU NA MAKUNDI MENGINE WAPIGWA MSASA AKILI MNEMBA

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam KUPITIA Mradi wa FemAILeaders, Shirika la Women Political Leaders (WPL), GIZ Makao Makuu, GIZ Tanzania na Omuka imeandaa Mafunzo ya Akili Mnemba “Artificial Intelligence – AI” yaliyoanza Mei 19 hadi 20 mwaka 2025, Dar es Salaam yaliyolenga mambo mbalimbali ikiwemo ulinzi wa mtandao,ubunifu na matumizi ya AI. Mafunzo haya yaliwaleta…

Read More

VIGOGO WA CWT KUCHAGULIWA UPYA

Joseph Masolwa Misalaba, Kaimu Katibu Mkuu na Mgombea wa Ukatibu Mkuu Na. Mwandishi wetu, CHAMA cha walimu Tanzania (CWT) kimetangaza kufanyika kwa mkutano mkuu wa chama hicho tarehe 28 na 29 mwezi mei mwaka huu mkutano ambao pamoja na mambo mengine utahusisha uchaguzi wa viongozi wa kitaifa Taarifa kutoka ofisi ya katibu mkuu wa chama…

Read More

Wanne matatani kukutwa na shehena ya bangi

Mbeya. Jeshi la Polisi mkoani Mbeya linawashikilia watu wanne, wakiwemo wanawake wawili, kwa tuhuma za kukutwa na shehena ya dawa za kulevya aina ya bangi. Watuhumiwa hao walikamatwa kwa nyakati tofauti, wakiwemo wanawake wawili waliokutwa wakihifadhi bangi ndani ya masanduku kwenye nyumba yao ya makazi, huku wengine wakinaswa wakisafirisha shehena hiyo kuelekea jijini Dar es…

Read More