Nani yuko nyuma ya Chaumma?

Dar es Salaam. Ni nani yuko nyuma yao? Hili ni miongoni mwa maswali yanayogonga vichwa vya wadau mbalimbali wa demokrasia nchini, kwa kile kinachoendelea ndani ya Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma). Msemo wa “usimkatie mtu tamaa” ndio unaoakisi historia ya maisha ya Chaumma, kutoka kuwa chama kilichotazamwa kama msindikizaji hadi kuwa sehemu ya mijadala…

Read More

Chukwu mipango imetimia Singida BS

KIUNGO wa Singida Black Stars, Morice Chukwu raia wa Nigeria, amesema mipango ya klabu hiyo msimu huu inaendelea kutimia, huku akipiga hesabu za kimataifa mapema. Huu ni msimu wa pili Chukwu anacheza soka nchini Tanzania akitokea Rivers United ya Nigeria ambayo msimu wa 2022/23 ilicheza dhidi ya Yanga hatua ya robo fainali ya Kombe la…

Read More

DIAMOND NA PEPSI WAENDELEZA HARAKATI ZA KITAIFA ZA VIJANA

::::::::: PEPSI Tanzania, inayozalishwa na kusambazwa na SBC Tanzania Ltd, kampuni ambayo imekuwa ikiburudusha na kukata kiu ya Watanzania kwa zaidi ya miaka 24,imetangaza kuendeleza ushirikiano wake wa kibiashara na Diamond Platnumz, Supa-Staa wa muziki Tanzania na Nyota wa kimataifa.  Ushirikiano huo kati ya SBC na mwanamuziki maarufu katika muziki wa Bongo Fleva ulioanza mwaka…

Read More

Sillah limebaki bao moja Ligi Kuu

LIMEBAKIA bao moja ili itimie ndoto ya mshambuliaji wa Azam FC, Gibril Sillah anayetamani amalize msimu kwa mabao kuanzia 10, anaamini katika mechi mbili zilizosalia dhidi ya Tabora United na Fountain Gate linaweza likatokea hilo. Sillah ambaye msimu uliopita alimaliza na mabao manane kwa  sasa anamiliki mabao tisa, alisema mechi za mwishoni zimekuwa ngumu, lakini…

Read More

Coastal Union yashtukia ishu ikijiandaa lala salama

BENCHI la ufundi la Coastal Union, limeshtukia jambo baada ya kuamua kuwaita wachezaji wote kambini Jumatatu, tayari kwa maandalizi ya mechi mbili zilizosalia za kufungia msimu zitakazopigwa Mkwakwani, jijini Tanga. Coastal inayoshika nafasi ya 10 kwa sasa ikiwa na pointi 31, imesaliwa na mechi dhidi ya Fountain Gate na Tabora United, iliwapa mapumziko wachezaji, lakini…

Read More

Kilichomkuta Feitoto Azam FC | Mwanaspoti

KIUNGO mshambuliaji wa Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’, ameuanza vibaya mwaka huu wa 2025 tofauti na uliopita baada ya kutofunga bao lolote katika Ligi Kuu hadi sasa, licha ya kuasisti mabao manne kati ya asisti zake 13 akiwa kinara. Fei Toto ndiye mchezaji aliyefanya vizuri zaidi kwa mwaka 2024, ambapo kiungo huyo alichangia mabao…

Read More